Kwako mtukufu rais wizara na taasisi husika pamoja na wadau wa Real estate naomba mjenge majengo ya kisasa ya kuishi, namaanisha magorofa (apartments) msiwaachie wananchi wajenge peke yao kwani wengi wao wanachafua mazingira hawajengi mfano ni eneo mkabala na mji wa govt, kuna nyumba zinajengwa kwa kasi na hazina viwango hvyo mji wa govt ukikamilika utakuwa mzuri huku pembeni yake kuna mji wa hovyo, igeni hata Misri ukitoka Giza kurudi city centre kupitia Citadel najua mshawahi fika mmeona mji ulivyojengwa .Nawasilisha
Tunaomba mkishajenga huo mji Dom mje muwabebe ombaomba wenu wote hapa DSM mrudi nao kwenu
Cairo ni kuzuri kuliko Dar mara 50 lakini hakuna bahari hvyo hata Dodoma yaweza izidi dar slam years to comeNa Dom haiwez kuwa kama dar, ukiacha makazi, dar ni kubwa sio eneo ila uchumi wake hivyo hata do m ijengwe vp haiwezi kuwa km dar labda bahari ingehami shimiwa huko, ndo ingekuwa sawa km dar
Nami nawashangaa kwanini wameanza shindanisha dar vs dom wakati mimi nimetoa angalizoMtoa maada nimemuelewa kuwa jiji la dodoma linakuwa sasa lisiachwe lijengwe bila mpangilio kama lilivo jiji letu pendwa la Mzizima, kuwe na mpangilio wa jiji lakini wengi wameelewa tofauti.
We mkongwe humu ina maana uzi hujauelewa?
Soma tena uzi naona umekurupuka ku comment, nimetoa angalizo tusifanye makosa yaliyofanyika Dar na sijashindanishaNa Dom haiwez kuwa kama dar, ukiacha makazi, dar ni kubwa sio eneo ila uchumi wake hivyo hata do m ijengwe vp haiwezi kuwa km dar labda bahari ingehami shimiwa huko, ndo ingekuwa sawa km dar
Na Dom haiwez kuwa kama dar, ukiacha makazi, dar ni kubwa sio eneo ila uchumi wake hivyo hata do m ijengwe vp haiwezi kuwa km dar labda bahari ingehami shimiwa huko, ndo ingekuwa sawa km dar
Hivi Dar ukitoa wale wanaoishi Masaki, Mikocheni na Osterbay na labda Upanga hivi hawa nao wanaokaa Kimara siju, Mwanayamala, Tandale sijui Mbagala wanasema wako Dar kweli. Mazingira kama yale Manzese au Tandale nikakae pale halafu nianze kutukana watu?? Dar ziko sehemu za kuhesabu ndio watu wanaishi sehemu zingine ni aibu. Wengi ni wahamiaji tu wenye asili ya hapo ni wachache sana na hao wameshatupwa Mbagala wenye pesa wamenunua maeneo.Cairo ni kuzuri kuliko Dar mara 50 lakini hakuna bahari hvyo hata Dodoma yaweza izidi dar slam years to come
Tuambie hapo ulipo ni eneo gani unaweza fanannisha na Mbagala?.au Tandale?.Dar kila kitu ndugu.Jiji la kukufikirisha jinsi ya kupata pesa,huku mikoani majitu ni mepesi kuridhika,vichwa butu.Ukikuta kachangamka jua huyo katoka Dar au Arusha,Hivi Dar ukitoa wale wanaoishi Masaki, Mikocheni na Osterbay na labda Upanga hivi hawa nao wanaokaa Kimara siju, Mwanayamala, Tandale sijui Mbagala wanasema wako Dar kweli. Mazingira kama yale Manzese au Tandale nikakae pale halafu nianze kutukana watu?? Dar ziko sehemu za kuhesabu ndio watu wanaishi sehemu zingine ni aibu. Wengi ni wahamiaji tu wenye asili ya hapo ni wachache sana na hao wameshatupwa Mbagala wenye pesa wamenunua maeneo.
Tuambie hapo ulipo ni eneo gani unaweza fanannisha na Mbagala?.au Tandale?.Dar kila kitu ndugu.Jiji la kukufikirisha jinsi ya kupata pesa,huku mikoani majitu ni mepesi kuridhika,vichwa butu.Ukikuta kachangamka jua huyo katoka Dar au Arusha,