Kweli kabisa miaka hii mitano jimbo limekosa mwakilishi makini,hivyo ni vema Freeman Mbowe akarudi kuliongoza ili kuwaletea maendeleo wananchi wa Hai waliopoteza matumaini.Mbunge wa sasa anajiaminisha kurudi lakini ukweli ni kwamba ana wakati mgumu na chama chake.Kila la kheri kwa Mwenyekiti wa Chadema kurejea bungeni