Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,711
Imefika mahali wanaume wanaume tumekua Kama hatuna akili hivi.tumebaki tunashinda tunalalamika tu bila kuchukua hatua. Yaani wanaume tunamalalamiko Kama wajane vile.
Serikali za kimataifa na kitaifa zilisha yaona haya ndio maana zikaleta haki sawa kwa mwanaume na mwanamke lakini cha ajabu wanawake wamepokea hili vizuri na wanalifanyia kazi vilivyo sisi badala ya tujue tunafanya Nini lkn tumechagua kukaaa chini na kulia Lia vitoto vya mbwa vilivyo mmisi mama yao.
Wakati hapa ishu ilikua ni simple tu na sisi kuupokea huu mfumo kwa shangwe na mbwembwe zote maana huu mfumo umekuja kuturahisishia maisha mfano Kuna mwanamke umeungana nae katika maisha yako mnapo Anza kujenga nyumba hakikisha hela za kiwanja wote mnatoa, sijui tofali wote mnatoa Hadi nyumba inakuja kuisha kweli kila mtu kashiriki 50/50 hata siku huyo mwanamke amepandwa na wazimu anataka mgawane Mali wewe ndio unakua mstari wa mbele kwenye kuhakikisha kila mtu anapata 50 zake bila uonevu badala ya kulialia sijui mahakama zinawabeba wanawake sijui nini nini.
Ukiona wewe ni mwanaume unazilalamikia taasisi eti zinaendelea wanawake basi wewe ni mpumbavu na hukufaa kuitwa baba wewe ni mwanamke flani hivi tuseme tu wewe ni tomboy ila umejificha kwenye uanaume.
Mwanaume hakikisha unakua na mwanamke mwenye thamani sawa na yako. Mbona wanawake katika hili wapo serious Sana na huwasikiii wakilalamika ila sisi wanaume tabia za kuokota okota ndio zinatupa mateso yasio kuwa hata maana yoyote na kubakiwa tukijifariji kwa misemo ya kipumbavu eti wanaume tumeumbiwa mateso endelea kuteseka pekeyako si hauna akili.
Hakikisha mwanamke anae kuja kwako anathani yaani anakuja kuongeza kitu sio kukusogezea mbususu ...mzee Kama mbususu hata kwa buku jero unaipata. Sasa endelea kutumia muda wako na Mali zako kwa mtu ambae yeye kwenye hayo mahusiano ameweka mbususu tu ... endelea kuzani sifa mwisho wa siku utaiona faida yake.
Yaani wanaume tuwe selective kweli na sababu kuu ya kuwa katika mahusiano ziwe za msingi Kama unamoja na mwanamke nae awe na moja ....Kama una kumi na mwanamke nae awe na kumi ....una sifuri nae awe na sifuri .....ukitoa tofari tatu nae tofari tatu.... nakuambia mzee haya maisha utaishi Kama peponi vile .....utakuta mwanamke anajenga kwao ulivyo lipumbavu na usivyo na akili unaanza kulalamika [emoji38][emoji38][emoji38] wewe kwani kwenu wamekukataza kujenga .....? Hivi kwa Nini wanaume tunavilio vingi Sana .
Wanaume tutafute pesa kwa ajiri ya sisi wenyewe na hazina ya badae yetu huko uzeeni tukiwa hatuna nguvu za mwili ...maana hata Hawa watoto tunao hangaika kuwagharamia kiukweli mwisho wa siku hata kukununulia shati la kuvaa watahitaji kibali maalum kutoka kwa mtu mwingine Tena na hakuna ambacho utawafanya.
Wanaume hii mifumo ya kidunia tuichukulie serious hasa huu wa 50/50 ...Sasa Kama wewe unaendelea kujipendekeza kwa 99/1 kisa unaitwa mme mzuri, my lovely husband, na kuimbiwa eti unapendwa Basi kichwa kinakutuna [emoji1][emoji1] my friend umeisha na umechakaa kiakili nakuambia utazichukia Sana mahakama na kuilaumu Sana serikali kwa kusema zinaendelea wanawake .
Na kweli lazima uzilaumu serikali lkn hizo serikali zilisha kupa muongozo mapema tu sema wewe kutokana na upoyoyo wako na kihelehele chako na ujuaji wako ukajifanya unaakili nyingi Basi ndugu vumilia tu na utavumilia tu kwa yatakayo kukuta na pindi yanapo kukuta uwe mstari wa mbele hivyo hivyo kwenye kutoa ushirikiano wakati Mali zinagawanywa. Na sio kuanza kulia Lia.
Sasa wewe endelea kuimbwa mwanamke anahitaji care, anahitaji pesa ,upendo ,nk imba Sana mzee ila wakati wewe unachakaa ili umpe care huyo ili ufe mapema mwenzio aendelee kudunda duniani na kufaidiwa na wanaume wengine kazana Sana kutumia muda wako kumjenga mtu asie na value ili apate value ili badae akushushe value yako uteseke ukonde kwa stress.
Niishie hapo mengine tutakutana kwenye comments
NB Mwanaume jipende Leo na kesho yako kubaliana na mifumo ilio wekwa na serikari uone utam wake hasa 50/50....tafuta pesa kwa ajiri yako na badae yako. Usisubiri Hadi yakukute ndio ujue Nini kinaongelewa hapa maana Hadi yanakukuta utakuwa kwenye Hali mbaya Sana na kujijenga upya sio kazi rahisi Kama mnavyo fikiri.