Hatimaye Wanasayansi wafanya ugunduzi mpya

Wanasayansi wa wapi kwanza!
Kuna sisi wanasayansi nduoni tumegundua ndizi inaweza kutengeza alcohol .
 
Wanasayansi Baada ya muda mrefu kupita na majaribio ya kutosha hatimaye wagundua kuwa barafu ni maji ya yaliyogandaView attachment 3435088

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nasumbuka kila mara kuhamasisha watu wale kiapo cha utii Kwa kipenzi chetu mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S ili kuwe na matokeo chanya kwenye jamii matokeo yake mapoyoyo yanazid tu kuchepuka.

Hili zoez/ operation naona nitaliacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…