Malaysia mkuuKuna tofauti ya kuachwa na kuuzwa. Huyu kuna gazeti lilitoa taarifa kuwa amepata timu visiwa vya Mauritius, na Simba imeshapata mgao wake wa Bilioni 2.
Bilioni 2!!!!!!Si wangekuja kunisajili mimi hao......Kuna tofauti ya kuachwa na kuuzwa. Huyu kuna gazeti lilitoa taarifa kuwa amepata timu visiwa vya Mauritius, na Simba imeshapata mgao wake wa Bilioni 2.
Kuna tofauti ya kuachwa na kuuzwa. Huyu kuna gazeti lilitoa taarifa kuwa amepata timu visiwa vya Mauritius, na Simba imeshapata mgao wake wa Bilioni 2.
Wabrazil wanaocheza Afrika hawawezi kuwa na kiwango cha Firmino, wana kiwango cha kawaidaWabrazil wote simba kiwango chao ni cha kawaida sana.
Duuu hii midingi inatimuana mimbio hapo!
Kuna tofauti ya kuachwa na kuuzwa. Huyu kuna gazeti lilitoa taarifa kuwa amepata timu visiwa vya Mauritius, na Simba imeshapata mgao wake wa Bilioni 2.
Mnaeneza uongo huu kujifariji au? Mchezaji yupi wa billion 2 pale?Kuna tofauti ya kuachwa na kuuzwa. Huyu kuna gazeti lilitoa taarifa kuwa amepata timu visiwa vya Mauritius, na Simba imeshapata mgao wake wa Bilioni 2.
Ni Fundi mzuri Wa kushona viatu pia.
HahahahaKuna tofauti ya kuachwa na kuuzwa. Huyu kuna gazeti lilitoa taarifa kuwa amepata timu visiwa vya Mauritius, na Simba imeshapata mgao wake wa Bilioni 2.
Kama huyo waliomuacha alikuwa muuza vyuma chakavu mitaani na Fundi mzuri Wa kushona viatu,hafu jioni anaenda kupiga tizi chandimu ndo Simba walikomuokoteaSimba wehu kwahiyo mtu akitoka Brazil ndo anaujua mpira hawajui Kuna waokota makopo