Hatimaye Simba SC waibeba Yanga CAF

Wakajibebe sasa. Wasiishie kujiita wa kimataifa huku wakishindwa kufikia hatua ya makundi.
 
cha ajabu sasa hivi wako bize kumkoleza mafuta yule mzee kalomoni avuruge kambi.
 
Ujinga ni kuwaza kuwa simba ishaingia group stage na hakuna timu inaweza kufanya hivyo.
Ndio maana hiyo timu mashabiki wanaitwa mbumbumbu
 
Nenda kachukue hati kwa Mzee Kilomoni, achana na Yanga,mmeibeba kmc siyo Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…