Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Wewe ndo umefurahi kuliko huyo shem wako. Inaonekana alikua anakaa kwako, acha uchoyo ufike mbinguniNi furaha ilioje kwa familia kwani baada ya msoto wa muda mrefu sana naye sasa kapata mwenza.
Mume ni wa kule kusini mashariki ya mbali. Nilichojifunza ishu ya kukosa mwenza inawakosesha raha na kuwakondesha sana hawa wenzetu (japo kwa hapa huwa wanajifanya kutuchukulia poa) maana taswira ya sasa ya shem hasa baada ya jamaa kutangaza nia ni tofauti sana. Sio siri katika kipindi kifupi sana shem wangu ameonekana kunawiri, kuwa na sura angavu zaidi na iliyojawa na furaha wakati wote.
Binafsi nimefarijika sana maana nilishaanza kunusa harufu ya "unungayembe". Nilishaanza kupata wasiwasi inakuwaje shem haolewi na miaka inasonga kwa kasi ya upepo. Kwa hakika nakutakia kila lakheri shem wangu katika maisha mapya ya ndoa.
Karibuni well wishers bila ya kusahau haters.
Mmi kama hater mmoja wapo
Nasema hivi simfahamu huyo shemeji na wewe umeandika simple sana kama vile umenialika kwenye harusi/ndoa hiyo
Kwa upande wa haters....watasema wewe ndio unayeolewa
Ndoa njema asee
Haahaa...jaman nisifurahi wakati shem alishaanza kuchakaa kitaani. Siri wanawake MTUPE heshima yetu wanamume. Wanaooa ni wachache sana saivi.Wewe ndo umefurahi kuliko huyo shem wako. Inaonekana alikua anakaa kwako, acha uchoyo ufike mbinguni
Swadakta....Aiseee Uzi teyar
mwajuma kaolewa na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Shemu wako... Ushawah kumtafuna mkuu?
Utatafuna wangap mkuu?Shemu wako... Ushawah kumtafuna mkuu?
πππππππWewe ndo umefurahi kuliko huyo shem wako. Inaonekana alikua anakaa kwako, acha uchoyo ufike mbinguni
Halafu ntakuzaba mabao jibu kama nlvyokuuliza npo serious ktk hili.. Sjalewa hapaUtatafuna wangap mkuu?
[emoji23][emoji23]Halafu ntakuzaba mabao jibu kama nlvyokuuliza npo serious ktk hili.. Sjalewa hapa
[emoji23][emoji23]Kwa hiyo anaenda kulala bila nini?
The truth has been spoken.Wewe ndo umefurahi kuliko huyo shem wako. Inaonekana alikua anakaa kwako, acha uchoyo ufike mbinguni
joan njoo pmKwa upande wa haters....watasema wewe ndio unayeolewa
Ndoa njema asee