Wewe km unajua mpira huwezi kulaumu kwa samatta kufunga goal 5 hadi sasa, na kuhusu giroud najua alikotoka alikuwa mfungaji bora, kuhusu hazard amekuja kuwa mkali chelesea kuliko aliko toka lile, na kuhudu Wayne Rooney labda hujui kwamba hakufanya chchte cha ajabu wakati yupo everton, na kilichomfanya anunuliwe na man ni uwezo alionesha kweny match ya Everton vs Arsenal na kufunga goal la umbali mrefu,
Kwahiyo kujifanya unajua mpira alafu unalaumu mchezaji alienunuliwa dirisha dogo kwa kufunga goal 5 ktk match 18 na kati ya hizo alizoanza first 11 hazifiki 10 ni wazi utakuwa unajiwehusha makusudi