simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,809
- 9,749
HahahhaKazi kweli kweli, shetani akizeeka anageuka shemeji
Mbona hiyo picha Kama kalazimishwa mugage [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hiyo picha Kama kalazimishwa mugage [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
jamaa kaenda kula mzigo, jamaa kwishney hawezi kazi huyo.Kazi kweli kweli, shetani akizeeka anageuka shemeji
Yani coments zako huwa Ni ujinga tuSasa si labda aliwaomba wamsaidie kupromote hicho kitabu.. eeeeeeh
Ila ndio hivyo tena.. maisha maisha
Uzuri hayo hayapo hapa nchwatu kwetu.. kuogopa kurudi. Labda walio na kesi au ambao wameshafikishwa polisi na wavunja sheria makusudi na wanaogopa kufungwa kwa makosa yao wenyeweeeeee waliyojitakia.
Yani coments zako huwa Ni ujinga tu