Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,084
Mimi simjuiWasomi nguli tuliliona hilo kabla na tokea anatangazwa kurejea nchi ya ahadi, hatimae kaanza kazi rasmi, fungeni mkanda maana huyu mwamba ana kila aina za udikteta, na ndio siraha ya mwisho, iliyokuwa ikitegemewa kwenye utawala, soon tutashuhudia mengi. Je mnamjua ni nani?
Hatimae-hatimayeWasomi nguli tuliliona hilo kabla na tokea anatangazwa kurejea nchi ya ahadi, hatimae kaanza kazi rasmi, fungeni mkanda maana huyu mwamba ana kila aina za udikteta, na ndio siraha ya mwisho, iliyokuwa ikitegemewa kwenye utawala, soon tutashuhudia mengi. Je mnamjua ni nani?
Sio uhaini tena?Hakuna Rais atavumilia siasa za hovyo za CHADEMA,
Rais Samia endelea kuchapa kazi ,, Kama watu Wana maoni ya kuboresha serikali inayasikia na itayafanyia kazi lakini wanaotaka kuipangia serikali nin ifanye na nini isifanye watasubir Sana,
Serikali inasimamiwa na Bunge tu.
Yaani EmmanuelMkatoliki safi .
alikataa uhuni wa kukatwa jina la Lowassa.
Balozi wa kudumu
Jina lake ni " Mungu Pamoja nasi"
Ooh. Mungu mwenye nguvu mfalme wa ajabu. Baba wa mileleMkatoliki safi .
alikataa uhuni wa kukatwa jina la Lowassa.
Balozi wa kudumu
Jina lake ni " Mungu Pamoja nasi"
ukiona ukosoa tunaamin kwamba umeelewa unachokikosoa, asante sana kwa kunielewaHatimae-hatimaye
Siraha-Silaha
Unajiita msomi nguli ila hata kuandika lugha yako tu kwa ufasaha hujui!
Wasomi hoyeeHatimae-hatimaye
Siraha-Silaha
Unajiita msomi nguli ila hata kuandika lugha yako tu kwa ufasaha hujui!
ukiona ukosoa tunaamin kwamba umeelewa unachokikosoa, asante sana kwa kunielewa
MakondaFriends of Lowassa ππππ
Imma!!!Mwenyekiti wa Zamani wa UVCCM a.k.a Mungu Pamoja Nasi