Kuna watu mnachukulia poa sana vitu ambavyo ni serious...Hii game siyo ya kuzungusha mikono...ni serious businessKwa ujinga ujinga wenu kamwe lissu hawezi kimbia nchi
Hivi ktk sakata la mchanga mkosefu ni Lisu au viongozi wa serikali waliogawa madini yetu bure kwa wazungu ??!! Au nia ni nini?!Hata Lissu atakimbia nchi tu. Time will tell.
Serikali hii hamna ukanjanja.