Msambaa mkweli
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 339
- 439
Hii ipo mkoa wa Tanga pekee na wilaya zake zote.Dayosisi ya kaskazini mashariki inajumuisha mikoa gani?
Shukrani kiongozi.H
Hii ipo mkoa wa Tanga pekee na wilaya zake zote.
uwe na adamuBora hawa wanachaguana sio yule Gamanywa mwenye mtumbo mkubwa na mdomo kama mamba aliyeshiba vinono
Facts kiongozi...Afadhali.
Ule utawala umeppita. Labda hata chuo kitafunguliwa
chuo kinafunguliwa mwakani mkuuAfadhali.
Ule utawala umeppita. Labda hata chuo kitafunguliwa
Ule mdomo ni kula kula sadaka na mtumbo wake ni kushiba mapato ya aibuWacha kukosoa kazi ya Muumbaji.
Kwani huo mdomo alijipa mwenyewe?
Duuh maneno makali hayoUle mdomo ni kula kula sadaka na mtumbo wake ni kushiba mapato ya aibu
🤣🤣🤣🤣Karibu askofu Munga rasmi kwsnye siasa
Hayimaye Munga sii mchungaji tenaLeo tarehe 26/11/2020 Askofu Munga wa DKMS-KKKT amepata mrithi wake Mch. Dr. Msafiri Joseph Mbilu kwa ushindi wa 84%.
Uchaguzi umekuwa wa Huru na Haki. Mungu awe kiongozi wenu kwani kuna mambo mengi hayapo sawa haswa sharikani, wengi tumeumizwa mioyo yetu.
Big up kwa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuhakikisha usalama wa kibinadamu.
All the Best.
View attachment 1635259View attachment 1635259