Wakuu siyo za pasua tu habari kamili ni kwamba daladala zote zinazotoa huduma za town trip zote zimegoma na ivi ninavyoandika nimetoka kcmc hospital kwa bodaboda na ni shilingi elfu moja.ni mji mzima wa moshi.
Japo kuongeza nauli kutawaumiza wananchi...hali ya sasa hivi inawaumiza wao kwahiyo inawibidi kupandisha bei!Solution ni bei ya mafuta kupungua tu basi!