Fursa Pesa JF-Expert Member May 30, 2012 4,437 3,261 Jun 4, 2012 #1 1.hivi asiye na dini apaswi kuwa kiongozi? 2.je katiba inasemaje juu ya mahusiano kati ya dini na utawala?
1.hivi asiye na dini apaswi kuwa kiongozi? 2.je katiba inasemaje juu ya mahusiano kati ya dini na utawala?
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Jun 4, 2012 #2 Unamfahamu vizuri Kingunge Ngombale Mwiru?...kama sivyo msome!... Halafu hiyo heading inayosema "HATIMA YA DINI', unaongelea hatima ya namna gani? Fanya hizo homework, then urudi!
Unamfahamu vizuri Kingunge Ngombale Mwiru?...kama sivyo msome!... Halafu hiyo heading inayosema "HATIMA YA DINI', unaongelea hatima ya namna gani? Fanya hizo homework, then urudi!