Hatasisi tunahitaji hili tangazo

Huyo dada nadhani huko mbele msitu wa pande utakuwa hadharani.
 
Zamani wazee ndio waliokuwa wanavaa bukta kwa ndani ya suruali, ingawa zao hawazionyeshagi halafu vijana walikuwa wanavaa chupi kwa ndani ya suruali. Siku hizi vijana hawavai chupi wanavaa bukta, wanazionyesha hadharani tena zikiwa chafu kabisa. Mvao huo naufananishaga na muonekano wa nyani kwa nyuma!
 
Dah! Ucameroun na ulibelarali huu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
tunalihitaji sana kila wolaya, mkoa mji na nchi nzima
 
Huyo Dada picha # 2 makalio yake sijui yakoje?!!!
 
Dah shetani anaturn akili za watu upside-down sielewi hii dunia inaelekea wapi neither west nor east!
 
Hii ndio fasheni kuu ya msanii wetu mmoja wa muziki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…