Hatari sana kumwambia mapema!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,834
Shetani hapendi kabisa kusikia neno ""NTAKUOA"Tena nahisi masikio yake na macho kaweka sensor popote atakapolisikia au kuliona utakubaliana nami watu waliokaa kwenye mahusiano.muda mrefu wakiambiana ntakuoa wengi hawakufanikiwa tena hata sababu haijulikani. Sababu kuu ni shetani,atatumia watu wa nje au kumrubuni mmoja wenu kuhakikisha hakuna ndoa hata muwe mnapendana kama malaika!
Tunafanyaje sasa? wewe ulieambiwa utaolewa au unaetaka kuoa hakikisha unapolitamka jambo la kuoa au kuolewa usichukue muda mrefu kulikamilisha,Asbh njema.
 
Mm kumwambia mtu namuoa mbona kawaida tu ili aachie papunye. Nawaza cjui wa kumuoa nitamwambia nn kipya
 
Mm kumwambia mtu namuoa mbona kawaida tu ili aachie papunye. Nawaza cjui wa kumuoa nitamwambia nn kipya
kuwa na hofu ya Mungu ili neno sio la kutamka hovyohovyo utalaanika,tafuta neno lingine.
 
Hilo neno sio shida, shida ni uaminifu tu.

Tumegubikwa na tamaa sana kiasi kwamba ni rahisi kuyumba ukishawishiwa na kitu kidogo ambacho hupelekea kusalitiana na hatimaye hiyo kauli ya Nitakuoa inabuma.

Tuwe wakweli na waaminifu katika maamuzi yetu.
 
Ulipomtaja Shetani ndipo ulipokosea.

Hajawahi kuonekana popote akiingilia mambo ya watu iwe kwa ubaya ama uzuri.

Again, Satan, God and the like are imagined reality that only exist in people's collective imaginations.
 
Ukiahidi/ ukiahidiwa ndoa usitangaze. Stay calm and silent watu wana hila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…