Kama kichwa cha habali kinavojieleza kwa wale tusiopenda complication nyingi za jikon upishi wa aina hii siyo mzuli kwa afya zetu View attachment 896004

Plastic hazifai kuwekewa chakula cha moto kwani joto linakuwa catalyst ya kuzalisha kemikali zinazosababisha Saratani.
Hata Chips za moto msiwekewe kwenye mifuko ya plastic enyi wanaume wa Dar.