Mlikubali TShirt, Khanga, Kofia na Tujisenti twa 2,000/- na mkaaminishwa kwamba CCM itatawala milele, mkawapa "kura za kishindo!" Sasa CCM wanapotumia "ukishindo" huo ili kujustify mambo yao ndani ya Bunge Maalum la Katiba msilie! Yesu aliwahi kuwaambia Wanawake wa Kiyahudi kwamba wasimlilie yeye (Yesu), bali "wajililie wenyewe na Watoto wao!"
Kwa hiyo, mnaoililia CCM, kama mliichagua CCM, msilie bali jililieni wenyewe na watoto wenu!