princessita
Member
- Aug 19, 2013
- 21
- 6
Nina mwenza wangu hataki ajulikane kama tunamahusiano nae yani hataki hata kuweka picha yangu kwenye socila networks ikiwemo facebook twitter watsup bbm na kadhalika hata mi nikisema niweke ananijia juu akiziona nimemuweka na mm namuweka kwa mapenzi to be proud of him ila ye hataki anasema ntoe sio vizuri ila wanawake wengine anaweka na kuwasifia wengine wanamwita mume mpenzi mi naona na niko kimya tu mpaka sasa nimeamua na mimi nikae kimya wadau niambieni siri iliojificha hapa kama ananipenda kweli is aweke wazi kila kona kwani nini afichefiche najihisi kama sio priority kwake ni ptional
kusoma hujui picha huoni?
...muulize kwnn wengine wanamuweka na wanamwita mpenz etc,na umwambie unaumia,hee!..mi jamani kuna mambo cyawezi huo moyo cna uwiiiii
watu8 yaani kama ni huyo mkaka muche tu aendeleeWe bi dada mbona unatuchangnya au unadhani sisi ni watu wa short memory...
Kuna hii thread hapo chini umeandika kuwa umewekwa pending na boyfriend wa mtu...halafu hapa tena unajifaragua kuwa haupewi kipaumbele...
Yaani kuwashauri ninyi watu msiojitambua kazi sana aisee...am out
https://www.jamiiforums.com/mahusia...hane-na-wazamani-ila-hajamucha-mpaka-leo.html
Heaven on earth, Ablessed tafadhani hebu mpeni ushauri nasha huyu binti loh!!
Nina mwenza wangu hataki ajulikane kama tunamahusiano nae yani hataki hata kuweka picha yangu kwenye socila networks ikiwemo facebook twitter watsup bbm na kadhalika hata mi nikisema niweke ananijia juu akiziona nimemuweka na mm namuweka kwa mapenzi to be proud of him ila ye hataki anasema ntoe sio vizuri ila wanawake wengine anaweka na kuwasifia wengine wanamwita mume mpenzi mi naona na niko kimya tu mpaka sasa nimeamua na mimi nikae kimya wadau niambieni siri iliojificha hapa kama ananipenda kweli is aweke wazi kila kona kwani nini afichefiche najihisi kama sio priority kwake ni ptional
Hujiamini princessita?kwanini unashindwa kung'amua mitego midogo kama hiyo?ndo huyo aliyekwambia amuache demu wake wazamani ili akuchukue wewe au mwingine?
jamani stori zote c lazima zimuhusu yeye directly , nyingine anaimba ushauri kwa niaba tu
Nina mwenza wangu hataki ajulikane kama tunamahusiano nae yani hataki hata kuweka picha yangu kwenye socila networks ikiwemo facebook twitter watsup bbm na kadhalika hata mi nikisema niweke ananijia juu akiziona nimemuweka na mm namuweka kwa mapenzi to be proud of him ila ye hataki anasema ntoe sio vizuri ila wanawake wengine anaweka na kuwasifia wengine wanamwita mume mpenzi mi naona na niko kimya tu mpaka sasa nimeamua na mimi nikae kimya wadau niambieni siri iliojificha hapa kama ananipenda kweli is aweke wazi kila kona kwani nini afichefiche najihisi kama sio priority kwake ni ptional
We bi dada mbona unatuchangnya au unadhani sisi ni watu wa short memory...