BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Duuh! Umerudi na shairi juu.Ama kweli Ban mbaya japo umejitahidi kuyaficha maumivu.
Kikawaida inaumaga hiyo kitu labda uwe na Ma Id mengi mengi.
Hayaelezeki.Maumivu yake yanafanana na nini[emoji14][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] sawa banaHayaelezeki.
Ukiipata ndipo utajua!
Hiyo ngonjera inaonyesha hisia ya maumivu ya bani.
Acha tu hata hayaelezeki mwaya.Maumivu yake yanafanana na nini[emoji14][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mods wana ubabe wa kisisiemu Mimi nilipigwa ban kisa nimesema siti ya kwanza hilo tu likanipa ban sasa kuwahi siti ni kosa au kuna wenye viti vyao humu dah mods mnapoteza credibilityHata nipigwe bani, Kamwe sitetereki
Ninapopigwa bani, Hata kama si haki
Nitabaki kundini, Jeefu sitoroki
Siku tano kambani, Katu haz'zoeleki
Nimetengwa kundini, Na mods kindaki
Kwani uzito gani, Ya kwangu misiteki?
Wanagawiwa bani, Kana kwamba ni keki
Wawekwa gerezani, Na mamodi kindaki
Watiwa hatiani, Kosa bila hakiki
Mwapata sifa gani, Wengine piga loki?
Mwasutwa nafsini, Bila kutenda haki
Ukali legezeni, Jamvi liwe rafiki
Walio kifungoni, Furaha hailiki
Pia mahakamani, Mello we hukumbuki?
Na wengine kwa nini, Mwawatia maloki?
Mkizidisha bani, Mtazidisha chuki
Siredi za udini, Zinachochea chuki
Mwazipotezeani, Mbona hazifungiki?
Matusi ya nguoni, Na siasa za chuki
Zinaletwa jamvini, Na hazipigwi loki
Mkitaka amani, Mzingatie haki
Mods jipimeni, Kama mwatenda haki
Je anifea bani, Yawapandisha kiki?
Bure nisameheni, sienezagi chuki
Nimetoka kifungoni, Kwa madaha lukuki
N'taheshimu kanuni, Nitahubiri haki
Kuna ugumu gani, Kuzingatia haki?
Naskia ISIS kawa moderator chizi kapewa rungu daadeki😧😧Mods wana ubabe wa kisisiemu Mimi nilipigwa ban kisa nimesema siti ya kwanza hilo tu likanipa ban sasa kuwahi siti ni kosa au kuna wenye viti vyao humu dah mods mnapoteza credibility
Mods wana ubabe wa kisisiemu Mimi nilipigwa ban kisa nimesema siti ya kwanza hilo tu likanipa ban sasa kuwahi siti ni kosa au kuna wenye viti vyao humu dah mods mnapoteza credibility
Yule mjahidina wa ccm anapewa u mod wa nini?Naskia ISIS kawa moderator chizi kapewa rungu daadeki😧😧
Ndo keshapewa sasa, kazi yake nadhani ni kugawa ban anachuki kinoma yuleYule mjahidina wa ccm anapewa u mod wa nini?