Hata nikifa maiti yangu isizikwe Moro...!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,804
Unamkumbuka msanii aliyetamka hivyo ktk wimbo wake?
Huyu ni O-ten kijana aliyekuwa na bifu kali na Afande Sele.
Jamaa kaishiaga wapi? Hizi ni kauli kali zisizojenga ktk maisha!

Kama ulikuwepo enzi za uchanga wa bongo Fleva, taja msanii mmoja uliyemkubali na akapotea ktk ramani ya muziki. Je, waweza kutukumbusha kauli yake tata?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…