Watu wanajifanya buku 2 ya kawaiiida sana kwa kuwa airport?
Wapunguze bana irudi kuwa buku
Wanaringa sasa hivi kwa kuwa hakuna option.....nasubiri hiyo siku mabasi ya mwendokasi yakifika airport..
watashangaa wenyewe magari yatakavyoyeyuka hapo
Kweli watu wanaona buku 2 ndogo... Lakini kiuhalisia sio ndogo!!Watu wanajifanya buku 2 ya kawaiiida sana kwa kuwa airport?
Wapunguze bana irudi kuwa buku