ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Kila mwaka msemo wa kupambana kiume utakuwa unatamalaki na mnaishia pale pale,,,sijui orlando wamepambana kike!!!!Hebu ona hizi konokono za kijani! Tumeridhika wachezaji wamepambana! Penalt hazna mwenyewe! Tukutane jumamos
Huwezi elewa ndio maana Huishia raoundi ya kwanza.Kila mwaka msemo wa kupambana kiume utakuwa unatamalaki na mnaishia pale pale,,,sijui orlando wamepambana kike!!!!
Halafu kuna uwezekano wa kukumbana na adhabu kutoka CAF kutokana na kile kitendo chao cha kuchoma ile karatasi pale uwanjani.
Na bado wakaishia tu kufungwa!
Makolo kila mwaka mnaishia hapo hapo ...si muache kupambana tu sasaJamani kweli binadamu hawana jema, Yaani watu tumepambana hadi matuta,wewe Unasema tuliingia kinyonge kweli?!!. Mbona ninyi Yanga hamjafika popote Mlipigwa nje ndani lkn watu hatukusema lolote?.
Na ninyi huwa mnafikia hatua ipi??.Makolo kila mwaka mnaishia hapo hapo ...si muache kupambana tu sasa
Si kwamba mliridhika...Mbele alikuwepo Mugalu tu...ni ngumu kupata matokeoHebu ona hizi konokono za kijani! Tumeridhika wachezaji wamepambana! Penalt hazna mwenyewe! Tukutane jumamos
Yanga ile ilikua bado haijakamilika...ilikua baaado subiri jmamosi kwanzaJamani kweli binadamu hawana jema, Yaani watu tumepambana hadi matuta,wewe Unasema tuliingia kinyonge kweli?!!. Mbona ninyi Yanga hamjafika popote Mlipigwa nje ndani lkn watu hatukusema lolote?.
Sawa tutaona tu hiyo Jmosi.Yanga ile ilikua bado haijakamilika...ilikua baaado subiri jmamosi kwanza
Tunaongea kishabiki zaidi uhalisia tunauacha pembeni. Hivi tukiondoa hiyo mikwaju ya penalty ambayo huwa haina mwenyewe GA ilikuwa ngapi? Timu kama simba kwa uwekezaji wa Orlando kutoana kwa matuta ni jambo la kuwapongeza simba.Kisaikolojia Simba huu mchezo walishaupoteza almost wiki sasa maana baada tu kuisha mchezo wa kwanza hapa kwa mkapa...washabiki wa simba asilimia 90.
Pamoja na uongozi wao wakakata tamaa ya kuvuka raundi hii kila walipowafikiria Orlando.
Barbara amezunguka huku na huko hadi serikalini kulalamika akilialia kuwa watafanyiwa fujo...yaani woga tu
Hii nadhani imepelekea kuwaumiza sana kisaikolojia wachezaji wakajiona tu wacha waende tu kukamilisha ratiba!
Lakini kwangu mimi japo mimi ni "mwananchi^ nina imani simba wangejiaminisha kuwa wanaenda kupambana waongeze ushindi wapigane jihadi hakika wangeweza vuka.....bahati mbaya wachezaji wakakosa moral.
Kocha kaweka kikosi cha kujilinda badala ya kushambulia kawaida....matokeo yake wakaelemewa kadi ikatoka wakawa pungufu ati mwalimu ndio anaingiza washambuliaji!
Niseme tu hesabu za benchi la ufundi hazikua sawa kwa vyovyote hii game ilijulikana kuwa ingekua ngumu wao walipaswa kucheza kawaida tu kwa style ya liwalo na liwe.
Wangecheza washambuliaji wanne mbele nina imani huenda orlando wangepigika tu lakini nasikitika ndugu zetu Simba ni kama walisha ingia woga kuwa hawawezi shinda mchezo hivyo kuingia kinyonge.
Poleni sana watani ila mnastahili pongezi kwa japo hapo mlipofikia.si haba.
In Shaa Allah next time mtajipanga na kurekebisha mapungufu.
Sasa hiyo Jumamosi utafanya kitu gani? Unatimu ya kumfunga Young Africans zaidi ya kuomba draw?Hebu ona hizi konokono za kijani! Tumeridhika wachezaji wamepambana! Penalt hazna mwenyewe! Tukutane jumamos