Watanzania wenye asili ya Kiarabu wamedumu kwenye Sekta ya Usafirishaji mfano Shabiby na Abood, wapewe Mwendokasi waiendeshe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Watanzania biashara wanayoimudu ni Kuuza maneno yaani Siasa na si zaidi ya hapo

Wamepewa Mwendokasi imewashinda wakaishia Jela

Waarabu Wana history ya kufanya vizuri Kwenye Sekta ya Usafirishaji, mifano Shabiby, Abood, Al Saedy nk

Siyo kama Mabasi ya Wabongo akina Machame exp, Upendo, Kiswele, Widambe, Safina nk.nk

Nawatakia Alhamis ya Amri yenye baraka😀😀
 
Kwa management ya Bus Tanzania hakuna wa kurun Mwendokasi

Ni rahisi Sana Kampuni ya Kawaida Kurun mwendokasi kuliko hao wenye mabus

Bus 10 ufananishe na Mwendokasi inayohudumia kwa siku Watu 50,000 plus

Yaan mtu ana uzoefu wa kuhudumia watu 600 kwa siku umpe hiyo mwendokasi,🤣🤣

HUO MARADI tungekua smart walipaswa waingie wabia wawili Chuo Cha usafirishaji NIT , na Udart wenyewe

Wagawane Majukumu Operesheni za Vituo , Usimamizi wa Ubora na ubovu wa magari , Nk

NAAMINI NIT ana resources za kutosha kuirun hiyo Mwendokasi tukiacha Siasa na Ujanja ujanja
 
Hakuna mradi rahisi kuuendesha kama Mwendokasi yule Simon tamaa ndio imemfelisha

Hata wewe vile ni mchagga tu ila ungeweza tu 😂😂
 
Watanzania biashara wanayoimudu ni Kuuza maneno yaani Siasa na si zaidi ya hapo

Wamepewa Mwendokasi imewashinda wakaishia Jela

Waarabu Wana history ya kufanya vizuri Kwenye Sekta ya Usafirishaji, mifano Shabiby, Abood, Al Saedy nk

Siyo kama Mabasi ya Wabongo akina Machame exp, Upendo, Kiswele, Widambe, Safina nk..nk

Naunga mkono hoja. Angalia hata akina TAWHEED, Tawaqal.

Watanzania ni wezi tu na na hawajui kusimamia raslimali
 
Ukiwapa hao , njia nzima ya reli itajaa misikiti badala ya shule. Maana CSR ya mwarabu anayoijua ni masaada ya tende na msikiti,huwa hajui kitu kiitwacho shule ,chuo au hospitali. Madawa anayo ya kienyeji ya kisuna kamaliza
 
Kwa management ya Bus Tanzania hakuna wa kurun Mwendokasi

Ni rahisi Sana Kampuni ya Kawaida Kurun mwendokasi kuliko hao wenye mabus

Bus 10 ufananishe na Mwendokasi inayohudumia kwa siku Watu 50,000 plus

Yaan mtu ana uzoefu wa kuhudumia watu 600 kwa siku umpe hiyo mwendokasi,🤣🤣

HUO MARADI tungekua smart walipaswa waingie wabia wawili Chuo Cha usafirishaji NIT , na Udart wenyewe

Wagawane Majukumu Operesheni za Vituo , Usimamizi wa Ubora na ubovu wa magari , Nk

NAAMINI NIT ana resources za kutosha kuirun hiyo Mwendokasi tukiacha Siasa na Ujanja ujanja
Wacha kumpa NIT majukumu yaliyo nje ya Sheria yake. Wale NIT kazi yao ni kutayarisha wataalamu wa kuendesha haya makampuni, kamwe hawawezi kufanya hicho unachotaka. Hiyo ni biashara per se
 
Ukiwapa hao , njia nzima ya reli itajaa misikiti badala ya shule. Maana CSR ya mwarabu anayoijua ni masaada ya tende na msikiti,huwa hajui kitu kiitwacho shule ,chuo au hospitali. Madawa anayo ya kienyeji ya kisuna kamaliza
Unadhani kwanini wagonjwa wanajazana kwa Mwamposa?
 
Hakuna mradi rahisi kuuendesha kama Mwendokasi yule Simon tamaa ndio imemfelisha

Hata wewe vile ni mchagga tu ila ungeweza tu 😂😂
Je ajae sio mwenye tamaa? 🤣🤣

Simoni si wakwenu huko Kanda ya Chuma? Jamaa alirushuwa kuchura sana na Mwamba🤣🤣🤣🔥🔥

Mwendokasi 90% wahudumu wake hawanau uwezo wa kutosha kutoa Huduma

Walinzi awatumii nafasi zao kufanya vituo viwe sehemu Tulivu kama kupanga mstari na kuingia kwa ustarabu

Madereva baadhi yao wamekosa sifa za kuyaendesha maagari haya

Mwisho Abiria ni wapumbavu gari imejaa wanajishindilia kama kuni kwenye moto wakidai wanawahi
 
Watanzania biashara wanayoimudu ni Kuuza maneno yaani Siasa na si zaidi ya hapo

Wamepewa Mwendokasi imewashinda wakaishia Jela

Waarabu Wana history ya kufanya vizuri Kwenye Sekta ya Usafirishaji, mifano Shabiby, Abood, Al Saedy nk

Siyo kama Mabasi ya Wabongo akina Machame exp, Upendo, Kiswele, Widambe, Safina nk..nk

Nawatakia Alhamis ya Amri yenye baraka😀
Hao, Arabs, ni Moro na Dodoma tu, njia zingine wapo wa Swahili kibao, Super feo, wapo wengine waendao tunduma, mbeya, hata, Arabs hupotea, Mohamed trans, Scandinavia, walitqmba zamani, lakini sasa, hawapo,swala la, mwendokasi, sio, kupewa, tu, tender itangazwe, iwe wazi
 
Unadhani kwanini wagonjwa wanajazana kwa Mwamposa?
Hujawahi kuwafatilia wengi ni akina mama wamevaa hijabu, wameshadanganywa na hizo za kisuna nankusomewa sura Yasin imeshindikana ndio wanajisalimisha kwa mwamposa. Uzuri wa mwamposa habadilishi dini ila fungu la kumi yeye Hana shida
 
Je ajae sio mwenye tamaa? 🤣🤣

Simoni si wakwenu huko Kanda ya Chuma? Jamaa alirushuwa kuchura sana na Mwamba🤣🤣🤣🔥🔥

Mwendokasi 90% wahudumu wake hawanau uwezo wa kutosha kutoa Huduma

Walinzi awatumii nafasi zao kufanya vituo viwe sehemu Tulivu kama kupanga mstari na kuingia kwa ustarabu

Madereva baadhi yao wamekosa sifa za kuyaendesha maagari haya

Mwisho Abiria ni wapumbavu gari imejaa wanajishindilia kama kuni kwenye moto wakidai wanawahi
Mwarabu hanaga tamaa

Yule Simon kaoelea uchaggani kwa akina Esta 😂😂😂🔥
 
Watanzania biashara wanayoimudu ni Kuuza maneno yaani Siasa na si zaidi ya hapo

Wamepewa Mwendokasi imewashinda wakaishia Jela

Waarabu Wana history ya kufanya vizuri Kwenye Sekta ya Usafirishaji, mifano Shabiby, Abood, Al Saedy nk

Siyo kama Mabasi ya Wabongo akina Machame exp, Upendo, Kiswele, Widambe, Safina nk..nk

Nawatakia Alhamis ya Amri yenye baraka😀😀
Acha bana hata wazawa wanaweza,
Igesa line
Upendo
Lupelo
Kilimanjaro
Dar express
Happy Nation
Ngorika
Super Feo
Champion
Zuberi
Simanjiro
King Yasin
Baraka
Manjinja

Wote hao asiwepo mmoja aymu watatu wa kusimamia na kuendesha mwendokasi?
 
Hamna kampuni hapo zote zinaendeshwa kwa utashi wa Boss

Ndio maana Akifa boss ndio imeenda na maji
Smanjiro nae ni mwekezaji wa bus? Yaan zile ngarangara za Mirerani ndio unamjumuisha?

Ngorika?? Una shida aisee🤣🤣
 
Tumpe mwarabu si ndio🤣

U
Unapoanza kumuita mwarabu unaonekana uko myopic. Huyo unayemuita mwarabu ananunua club za Uingereza kama Necastle, Manchester City, Arsenal etc a Premier league. Huyo DP WORLD kwa mfano ana run Portsmouth Port ya Uingereza wewe ni nani akushindwe ?

Nyie mnawaabudu Wazungu tu, ndiyo shida yenu
 
Back
Top Bottom