Hashtag #StopMagufuli trends on Twitter Kenya

Ukiona mtu anashabikia mzaz kurudi darasan ujue akili yake haipo sawa...me naona kama vipi waruhusu wanafunzi wawe huru kufanya mapenzi maana haina maana kupiga vita mapenzi bado ukiwa shule angali unaruhus mtu kuzaa na kurud shule
 
KWA MFANO MTOTO WAKO AKIPEWA MIMBA AKIWA MWANAFUNZI.UTAJISIKIAJE NA MAGUFULI AMESHASEMA.HAKUNA SHULE?
1: Atakuwa aliitafuta mimba( alivua nguo zote,Uzi hauwezi kuingia kwenye tundu la sindano inayotikiswa.
2: Akijifungua itabidi amlete aliyempa.Anamjua. Uume uliingia ukeni.
3: Akubali kujifunza vocational training
4; Akimaliza ajitegemee yeye na mzazi mwenziwe ( wamejikuza mapema.
Mama yao sikumkatisha masomo.
 
Kwani ni lazima wakasome kwa kodi zetu?
Kwani Magufuli kazuia wakasome?
Kwani wakusona kwa plan B bila ya kodi zetu kuna mtu kawazuia?
Cases za ubakaji ni ndogo sana, cases nyungi ni kwa raha zao ndio maana JK aliwaambia wanajitakia

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa wasivyotupenda hata hii kampeni yao hatuielewi. Mi nikajua watakuwa na furaha maana baada ya muda tutakuwa na familia nyingi zisizo na elimu hivyo itakuwa rahisi kujitwalia maziwa na asali.
 
NAKUBALIANA NAO 100%
MTOTO WA KIKE ANA HAKI YA KUPATA ELIMU.
MIAKA 30 JELA KWA MTIAJI MIMBA INATOSHA.
SIO NA MTOTO UMFUKUZE.HAPO HAUFUTI UJINGA.BALI UNAONGEZA.
Hivi mnahabari kama siku hizi kuna wanafunzi wanawabaki wavulana??
Hata hiyo miaka 30 mi naona ni uonevu tuu, wengi wamo kwa kubakwa kifikra sana

Bora aachishwe shule ili na yeye apate uwezo wa kufikiri kwa majuto
 
Back
Top Bottom