we umefika dsm leo!?, naiman hukutazama magari ya taka yanayopita barabarani yakiwa na kila aina ya uchafu kuanzia utumbo wa dagaa mpaka jasho la kuku wanaochinjwa kisutu, usitumie pua pekee kama crisetomis gambianus, tumia na macho pia
Huku ndo Dar es salaam kijana,usiombe muwekwe foleni afu mbele yenu gari la taka haaa haaa! Wenyewe tushazoea,waangalie wengine wanalala usingizi kwny magari hayohayo!