Harry Kane ana gundu!

Kwani yeye sio kijana?
 
Gundu limemalizika sasa !
Three quarters ya umri wake na akiwa peak hakuwahi Kupata kombe lolote nchini kwake, Leo at the age of Nabii Ibrahim na Sarai wanafanikiwa kumpata Isack. Ashauriwe arudi England na ajiunge na kati ya Man. City au Liverpool pengine mwakani anaweza kupata kimoja wapo kati ya epl, fa, au Carling na pengine hata champion Ili ashangilie mbele ya jamaa zake.
 
Katika hii fani ya soka kuna talent na bahati pia juhudi, mchezaji anaweza kuwa na kimojawapo, viwili, ama vyote vitatu.

Harry kane ana talent na juhudi ndio maana kuwa mfungaji bora ni kitu cha kawaida kwake maana ana juhudi na talent, bahati haipo sana upande wake.

Kafika fainali ya UCL hajatwaa, world cup anaishia semi, euro kafika fainali hola! kaenda kwa Bundesliga winners miaka 11 mfululizo kakosa, ni kama gundu(hana bahati) baada ya kuforce sana hatimae katwaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…