Somo!dogo kula bwana kwani wewe ni under 18... kulaaa tuu... kuna wengine wanamtamani wolper basi tu
Ntonto una ntawaza? Nkubwa mwenzi nkuiita ntonto ni dharau somo!Ivi Wolper wkt Harmonize Hajarekodi Hata kawimbo kkamoja si ulikuwa unampita tu Na kumsonyaaa???jamani Dada kuwa Na Hurumaaa Na Huyoo Mtoto mwache atafute visichana vyenye umri wakeee mbona unataka KUMBEMENDA???haki za binadamu mpo wapiiiii....Atakula hela yakee tu ikiisha anasepa...Hurumaa jamani.Eti unanifanya mabusu sijuii Maudendaa Usaniii mtupuuu..Dogo Amka unaibiwa Kwenye Mwanga...Hatuingilii lakini Wolper tunamjuaaa anataka Apige Akimbieee wangapi kawapiga Na wengine wakampiga???analipishaa Visasi.. eeeeh Mtoto wetu Harmonize shtukaaaaa!!
Chili chamaki chacha hivi nakula baga na ntonto nzuri wolper amenoga!Njomba amonaizi nipo ubungo na chamaki nchanga
Chili chamaki chacha hivi nakula baga na ntonto nzuri wolper amenoga!
Kwanza mimi si mmakonde mimi ni ntu wa Chumbiji ndugu yake joachimu chichano!
Kwanini chindio kichwahili kizuri?Umeharibu hapi njomba, ni chi.
Ntwara ni mwendo wa n tu.Kwanini chindio kichwahili kizuri?
Wewe wa wapi huyu demu Naj alishapita na Blue akaja akapitiwa na DIAMOND,ona hapa.Mkuu hata kama ni kiki siwezi toka na huyo mama na harmonize kakosea sana alishindwa nn kutafuta mtoto mkali afu akambrand kupitia kampuni yao ya WCB ..??? namshauri angalie vijana wenzake kama Baraka da prince alivyovuta kitu hatari yeye atabakia tu kiki siku zinaenda,,[emoji22]
Watch out bro Umekosea sana
Huyu ndio yule mume wamtu?Ukizingatia wana mwezi mmoja na wiki 2, mbwembwe kibaoooo,
"ujinga mzigo"