Duh!!Jama keshakuwa ameamuwa kukaaa kivyake ukiangalia kwa umakini yule sallam alikuwa anamleteya zarau sana ..harmo ata akitoka dogo yule anajituma sana na Ana sapoti kubwa sana inje na ndani ya inchi mana yeye sio muimbaji wa nyegezi ao vumbi ...ndo msani peke wa bongo anaye imbaga vya kueleweka tena vya mana jama kasimama imara ..haitaji wcb fan kwa kutoboa mana huko south Sudan kajaza na Kenya huwa anajaza so riziki agawa Mungu sio hivyo vi team uchwara vinavyo ongeya nonsense ... Harmonize atabaki kuwa Harmonize ... Dogo wametaka kumziwiya kutoa ngoma ..matatizo yote yalitokeya wakati wa ngoma za EP aliyo mshirikisha burnaboy inama na niteke ..wcb wamezichelewesha sana hadi ikawa ugomvi mana walikuwa hawataki mpinzani wa tetema na nyegezi ... Kiukweli Domo keshapata sana tu ila jama Ana tama sana ... Hadi goma lake lichache ndo aachiye wengine watowe ... harmonize ni level nyengine sio kama Kina rayvan na mbosso ...Jama yuko makini sana na ata washangaza sana .. ipo siku tutamuelewa ...Go go jeshi KondeBoy
Huko south Sudan hawaijuw wcb na amejaza kuliko mtuu yeyote Bongo ata wasafi festival haijawahi pata ... Yeye huwa haimbi nyegezi ao vumbi atatoboa tuSiku akitoka WCB huyo harmonize atasahaulika.
Mjazeni kichwa Kama mlivyofanya kwa mavoko.Mziki ni zaidi ya kuwa na uwezo wa kufanya mziki mzuri, maana hata huyo Harmonize hawezi gusa Moto wa watu Kama Been pol na Belle 9. japo Kibiashara anawakimbiza.
Endeleeni kumjaza ujinga muone atakavyokuja kusanda huyo mmakonde wa Tandahimba.Huko south Sudan hawaijuw wcb na amejaza kuliko mtuu yeyote Bongo ata wasafi festival haijawahi pata ... Yeye huwa haimbi nyegezi ao vumbi atatoboa tu
Diamond hajawai kurudisha uwekezaji uliowekwa na Bob junior na anamlipa dharauHarmonize hajawai kurudisha uwekezaji uliowekwa na Diamond na anamlipa dharau.
Hivi shule mnaenda kusomea ujinga na kushika nyimbo .
Mbona unaandika vibaya hivyo utafikiri mtoto mdogo.
Inchi hii [emoji1]
Jama keshakuwa ameamuwa kukaaa kivyake ukiangalia kwa umakini yule sallam alikuwa anamleteya zarau sana ..harmo ata akitoka dogo yule anajituma sana na Ana sapoti kubwa sana inje na ndani ya inchi mana yeye sio muimbaji wa nyegezi ao vumbi ...ndo msani peke wa bongo anaye imbaga vya kueleweka tena vya mana jama kasimama imara ..haitaji wcb fan kwa kutoboa mana huko south Sudan kajaza na Kenya huwa anajaza so riziki agawa Mungu sio hivyo vi team uchwara vinavyo ongeya nonsense ... Harmonize atabaki kuwa Harmonize ... Dogo wametaka kumziwiya kutoa ngoma ..matatizo yote yalitokeya wakati wa ngoma za EP aliyo mshirikisha burnaboy inama na niteke ..wcb wamezichelewesha sana hadi ikawa ugomvi mana walikuwa hawataki mpinzani wa tetema na nyegezi ... Kiukweli Domo keshapata sana tu ila jama Ana tama sana ... Hadi goma lake lichache ndo aachiye wengine watowe ... harmonize ni level nyengine sio kama Kina rayvan na mbosso ...Jama yuko makini sana na ata washangaza sana .. ipo siku tutamuelewa ...Go go jeshi KondeBoy
Dah sipati taswira ya jamaa anao chat nao kila siku.. tabu kwelikweli!!!!Hivi shule mnaenda kusomea ujinga na kushika nyimbo .
Mbona unaandika vibaya hivyo utafikiri mtoto mdogo.
Inchi hii [emoji1]
Diva tatizo huolewi unamdomo sanaHarmonize hawezi tetereka bwana. Harmonize ndo the best kuliko hata Domo kwa sasa. Wangekuwa hawatowi nyimbo kwa kupangiwa yaani Harmo angeshampoteza kabisa Domo.