Obama na white house mzima walidance ngoma ya sura yako ya sauti sol na tukanyamaza nyinyi mnasherekea upuziTanzania music is the African or East African in particular is the dope heroine, its the unescapable addition which will rule you whether like it or not, nilishangaa hivi viwakora filthy huku vilivyoshadadia that fake fabricated jealous, kumbe madingi zao wanawacheki tu kwa zarau ππππ what a karma
Nyie tulieni tuwatawale taratibu punguzeni mbwembwe mazee
View attachment 989407
Povu linaruhusiwa ila la viwango.
Hawa vijana wetu wako mbali sana, hata uwachukie vipi huwezi fanikiwa... Hukawii kusikia jamaa wanaanza eti mbona wasanii wa nyumbani hawathaminiwi...Tanzania music is the African or East African in particular is the dope heroine, its the unescapable addition which will rule you whether like it or not, nilishangaa hivi viwakora filthy huku vilivyoshadadia that fake fabricated jealous, kumbe madingi zao wanawacheki tu kwa zarauwhat a karma
Nyie tulieni tuwatawale taratibu punguzeni mbwembwe mazee
View attachment 989407
Povu linaruhusiwa ila la viwango.
Tatizo lao ni ubinafsi na wivu wanafikiria kwa kumchukia aliefanikiwa ndio kumpita, mziki wa Tanzania ni mzuri number moja Africa tena upo best zaidi ukiwa kwenye swahili,Hawa vijana wetu wako mbali sana, hata uwachukie vipi huwezi fanikiwa... Hukawii kusikia jamaa wanaanza eti mbona wasanii wa nyumbani hawathaminiwi...
Halafu juzi tu kuna Gavana wao mmoja alikua anahojiwa ni nyimbo gani anaipenda akataja na kuanza kuimba nyimbo za Harmonize wacha povu lianze kuwatoa wasanii wao.... Tatizo viwango vyao bado ni vya mchangsni, a.k.a Kinesi cup
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watu kaeni vizuri sababu mkileta ubishi nitawalipua hapa niwaache watupu,Ngoma ya King Kaka PLAYED in NBA na tulinyamaza
King Kaka's Song Plays at US NBA Game [VIDEO]
ππππ Mkuu si uwalipue tu tufaidi wengiNyie watu kaeni vizuri sababu mkileta ubishi nitawalipua hapa niwaache watupu,
Nikiamua kutumia radar zangu hamchomoki nitawaonesha kweli Tanzania ipo mbali kwenye issues za cyber attacks
Wote mpo addicted na miziki ya Tanzania, mnabisha niweke facts hapa?
Kwa sababu wametii nimenyamaza ila wote wana taarifa zangu sababu lishawaoneshea advertise moja kali kila mmoja kwa wakati wake kwa hiyo wanajua ninachomaanisha, hata wewe nikikutataka nakupata so take care.ππππ Mkuu si uwalipue tu tufaidi wengi
ππ Naona kijana wetu yupo kwenye ulinzi maridadi wa majeshi yote ya Kenya.
Nangoja Omo!Tanzania music is the African or East African in particular is the dope heroine, its the unescapable addition which will rule you whether like it or not, nilishangaa hivi viwakora filthy huku vilivyoshadadia that fake fabricated jealous, kumbe madingi zao wanawacheki tu kwa zarau ππππ what a karma
Nyie tulieni tuwatawale taratibu punguzeni mbwembwe mazee
View attachment 989407
Povu linaruhusiwa ila la viwango.
Naona unawashwa na umama tu, we kenyans love good music whether its bongo or naija,sasa sijui shida ni nini ukonayoNyie watu kaeni vizuri sababu mkileta ubishi nitawalipua hapa niwaache watupu,
Nikiamua kutumia radar zangu hamchomoki nitawaonesha kweli Tanzania ipo mbali kwenye issues za cyber attacks
Wote mpo addicted na miziki ya Tanzania, mnabisha niweke facts hapa?
Una bahati umekiri wazi kwamba Tanzanian music is superb, and that's fact, huwezi hata siku moja kuuweka mziki wa Kenya na Tanzania in the same sentence na inakulikana wazi Tanzanian musicians are gods in Kenya, mwanamziki wenu ambae ndio star hit maker of your level ni Khaligraph and Sauti Soul ambao wote walikua listed kwenye wasafi assistant featured performers,Naona unawashwa na umama tu, we kenyans love good music whether its bongo or naija,sasa sijui shida ni nini ukonayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Una bahati umekiri wazi kwamba Tanzanian music is superb, and that's fact, huwezi hata siku moja kuuweka mziki wa Kenya na Tanzania in the same sentence na inakulikana wazi Tanzanian musicians are gods in Kenya, mwanamziki wenu ambae ndio star hit maker of your level ni Khaligraph and Sauti Soul ambao wote walikua listed kwenye wasafi assistant featured performers,
Hakuna mwanamziki Kenya anaweza kuja Tanzania na kuandaa show then amuweke hata muimba singeli kama local artist, never.
ππ Naona kijana wetu yupo kwenye ulinzi maridadi wa majeshi yote ya Kenya.
Well done πππππ
Huyo ndio Rais wenu hamna la kumfanya zaidi ya kutii
Kula pweza na kaa ulale. Unaboa wasomaji. Mbona unaringa na vya wenyewe? Viko wapi vyako? Ama wewe ni yule mchekeshaji wa kuingiza? LolHalafu hicho kibibi unachoniitia nilimekipiga kombora matata mahali so leo hakina hamu na mimi kabisa sababu toka nikishushie ile nyundo kimezima kabisa PC one way, Acha kipumzishe akili kidogo.
and your point is???πUna bahati umekiri wazi kwamba Tanzanian music is superb, and that's fact, huwezi hata siku moja kuuweka mziki wa Kenya na Tanzania in the same sentence na inakulikana wazi Tanzanian musicians are gods in Kenya, mwanamziki wenu ambae ndio star hit maker of your level ni Khaligraph and Sauti Soul ambao wote walikua listed kwenye wasafi assistant featured performers,
Hakuna mwanamziki Kenya anaweza kuja Tanzania na kuandaa show then amuweke hata muimba singeli kama local artist, never.
Hakuna mziki Kenya tena, mziki ulikua kipindi cha kina nameless, wahuu, nyota ndogo, jua kali, Sarah KKula pweza na kaa ulale. Unaboa wasomaji. Mbona unaringa na vya wenyewe? Viko wapi vyako? Ama wewe ni yule mchekeshaji wa kuingiza? Lol
congo,jamaica have good music than you and also very poorUna bahati umekiri wazi kwamba Tanzanian music is superb, and that's fact, huwezi hata siku moja kuuweka mziki wa Kenya na Tanzania in the same sentence na inakulikana wazi Tanzanian musicians are gods in Kenya, mwanamziki wenu ambae ndio star hit maker of your level ni Khaligraph and Sauti Soul ambao wote walikua listed kwenye wasafi assistant featured performers,
Hakuna mwanamziki Kenya anaweza kuja Tanzania na kuandaa show then amuweke hata muimba singeli kama local artist, never.