TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,442 Reaction score 8,695 Feb 9, 2022 #1 Habari wana Jf Biashara zote zinanivutia Nina mtaji was milion 40 nahitaji kuwekeza kwenye hizi biashara mbili kwa ushauri wenu niingia kwenye biashara ipi Location ipo Dar nataka kuuza Jumlaa na rejareja
Habari wana Jf Biashara zote zinanivutia Nina mtaji was milion 40 nahitaji kuwekeza kwenye hizi biashara mbili kwa ushauri wenu niingia kwenye biashara ipi Location ipo Dar nataka kuuza Jumlaa na rejareja
S simon2016 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2020 Posts 611 Reaction score 1,744 Feb 9, 2022 #2 Spea za pikipiki sina sababu ila nenda huko
MrConveter JF-Expert Member Joined Jul 4, 2017 Posts 1,291 Reaction score 2,370 Feb 9, 2022 #3 Nenda kwa Joanah akupe odds mbili za uhakika, weka mzigo utakuja kunishukuru baadae.
TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,442 Reaction score 8,695 Feb 9, 2022 Thread starter #4 simon2016 said: spea za pikipiki sina sababu ila nenda huko . Click to expand... Sawa mkuu
TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,442 Reaction score 8,695 Feb 9, 2022 Thread starter #5 MrConveter said: Nenda kwa Joanah akupe odds mbili za uhakika, weka mzigo utakuja kunishukuru baadae. Click to expand... Hapan betting no
MrConveter said: Nenda kwa Joanah akupe odds mbili za uhakika, weka mzigo utakuja kunishukuru baadae. Click to expand... Hapan betting no
M MANAKE MKARI JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 322 Reaction score 270 Feb 9, 2022 #6 simon2016 said: Spea za pikipiki sina sababu ila nenda huko Click to expand... Ila kama ni reja reja inatakiwa uuze haswa.Faida ya yake huwa ni ndogo ndogo na bei zinafahamika.Hii biashara ilikuwa nzuri siku za nyuma ila sasa kuna hivi vibanda ambavyo hawalipi leseni wala mapato
simon2016 said: Spea za pikipiki sina sababu ila nenda huko Click to expand... Ila kama ni reja reja inatakiwa uuze haswa.Faida ya yake huwa ni ndogo ndogo na bei zinafahamika.Hii biashara ilikuwa nzuri siku za nyuma ila sasa kuna hivi vibanda ambavyo hawalipi leseni wala mapato
Daz911 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2018 Posts 744 Reaction score 1,252 Feb 9, 2022 #7 Nenda spea za pikipiki, mtaji unatosha kwa kuanzia, hardware kidgo inahitaji mtaji mkubwa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nenda spea za pikipiki, mtaji unatosha kwa kuanzia, hardware kidgo inahitaji mtaji mkubwa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,442 Reaction score 8,695 Feb 9, 2022 Thread starter #8 Zacc said: Nenda spea za pikipiki, mtaji unatosha kwa kuanzia, hardware kidgo inahitaji mtaji mkubwa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app Click to expand... Vp biashara hi mzunguko wake unaweza kulingana na mzunguko wa biashara ya chakula
Zacc said: Nenda spea za pikipiki, mtaji unatosha kwa kuanzia, hardware kidgo inahitaji mtaji mkubwa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app Click to expand... Vp biashara hi mzunguko wake unaweza kulingana na mzunguko wa biashara ya chakula