njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
ama kwa hakika wewe uko sahihi kabisaSimba msimu uliopita alikua pre season Morocco na akafungwa na Yanga mechi ya ufunguzi, msimu huu Wana kwenda Misri na watakuja kufungwa kadhalika na misimu inayo fuata.
Azam Kwa miaka mingi wanafanya pre season nje ya Nchi na wakirudi nafasi Yao ni ya tatu.
Mwaka huu maji mtaita maaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2293862
This is how they feel our presence this season.
We have become ferocious indeed.
Na huu ni mwanzo tu wa miaka mingi ya mateso mnayoenda kukutana nayo. Yanga itawatesa sana
Huyu ndoo Kiii au??😃😃😃😃😃
Unateseka sana we jamaa. Huu ni mwanzo tu wa mateso mengi mnayoenda kuyapitia msimu huu unaonza hivi karibuni
Wanasema etindugu yake wamefanana mdomoHuyu ndoo Kiii au??😃😃😃😃😃
Ukweli unauma bila shaka. Ukisikia Manchester United imeenda Korea Kusini kwa ajili ya Pre season, basi ujue lengo kubwa hapo ni kwenda kuongeza idadi ya mashabiki na kufanya biashara, ikiwemo ya jezi!Aiseee huyu kijana kama hawajampa kitengo wampe tu hapo utopoloni kwa kweli, kajivika mabomu haswa na kaingia vitani kwelikweli
Hiyo harusi nitashangaa kama hawatachangia atleast millions 50 he deserves it...hapo ukimuuliza kwamba ilikuwaje senzo akaweka booking ya kambi uturuki last month ilihali akijua kuna yanga day, kuna mechi ya stars bado atakuambia kambi ya nje siyo lazima na kamwe hatazungumzia uzembe uliofanyika unaosababisha hasara ya kulipa millions 200 kwa waturuki
Makanjanja haya ni bora ya spend siku nzima redion kuongelea logo ya m-bet juu ya logo ya sportspesa au kwa nini simba haijaenda marekani kama Mo alivyoahidi wala siyo uzembe uliotokea kuhusu kambi ya uturuki na tishio la kushtakiwa na ile sport agency.
View attachment 2293755
Kwa hyo yanga kumfunga simba ndo mnajiona mmefika final CAF champion's league kweli yanga na mashabiki wake lucy aymel hakukosea kuwaita vile.Simba msimu uliopita alikua pre season Morocco na akafungwa na Yanga mechi ya ufunguzi, msimu huu Wana kwenda Misri na watakuja kufungwa kadhalika na misimu inayo fuata.
Azam Kwa miaka mingi wanafanya pre season nje ya Nchi na wakirudi nafasi Yao ni ya tatu.
Msimu uliopita makolo walifanya pre season je iliwasaidia nini katika kusaka ubingwa?Aiseee huyu kijana kama hawajampa kitengo wampe tu hapo utopoloni kwa kweli, kajivika mabomu haswa na kaingia vitani kwelikweli
Hiyo harusi nitashangaa kama hawatachangia atleast millions 50 he deserves it...hapo ukimuuliza kwamba ilikuwaje senzo akaweka booking ya kambi uturuki last month ilihali akijua kuna yanga day, kuna mechi ya stars bado atakuambia kambi ya nje siyo lazima na kamwe hatazungumzia uzembe uliofanyika unaosababisha hasara ya kulipa millions 200 kwa waturuki
Makanjanja haya ni bora ya spend siku nzima redion kuongelea logo ya m-bet juu ya logo ya sportspesa au kwa nini simba haijaenda marekani kama Mo alivyoahidi wala siyo uzembe uliotokea kuhusu kambi ya uturuki na tishio la kushtakiwa na ile sport agency.
View attachment 2293755
Unasema manyaniKwa hyo yanga kumfunga simba ndo mnajiona mmefika final CAF champion's league kweli yanga na mashabiki wake lucy aymel hakukosea kuwaita vile.
Radioni na kwenye tv ni sehemu ya kuwapigia debe waliopo kwenye madaraka ili ukumbukwe kwenye teuzi mbalimbali.Aiseee huyu kijana kama hawajampa kitengo wampe tu hapo utopoloni kwa kweli, kajivika mabomu haswa na kaingia vitani kwelikweli