Tanzania yenye neema bila mdhaifu na mwoga companero inawezekana. Kabebe maboksi mkuu, tuachie nchi yetu watanganyika.
....Natumai nitatumia muda huo kutafakari ni wapi nilikosea katika harakati zangu za kusukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania. Kama nitapata jibu, basi labda nitajipanga upya na kurudi tena kujiunga na wanaharakati kujaribu kuendeleza taifa hili. Kwa sasa roho inataka ila mwili ni dhaifu.....
aende mbagala karibu ya kambi ya JWT kabla ya kuingia msituni aone anaweza kuvumilia vishindo vya mabomu kwanzaIngia msituni bob! kama Che vile...
Process is more important than outcome. When the outcome drives the process we will only ever go to where we've already been. Stagnation and eventually throw in the towel. If process drives outcome we may not know where we're going, but we will know we want to be there. We will have the will power to never stop no matter what.
Mwanaharakati wa kweli Che alikuwa na mwili dhaifu sana lakini mambo aliyoyafanya tunayazungumza leo na yataendelea kuzungumzwa vizazi vingi vijavyo.
Wanao na wajukuu wako hawatakuelewa hapo. Hii vita tunayopigana sasa watakaofaidi matunda yake sio sisi bali ni vizazi vijavyo. Miaka mitano kwenye uliongo wa mapambano katika Tanzania ya leo ni midogo sana. Hawa tunaopigana nao wamejichimbia very deeply and greenly.
Aluta continua....
Sawa sawa, aidha kwa upande wako licha ya kutoweka wazi namna ulivyoendesha harakati zako na namna ulivyoshindwa, unakaribishwa tena kubeba maboksi....Basi hata JK tusimlaumu, miaka 5 haimtoshi. Tumuongezea 5 mingine.
Mwanaharakati wa kweli huwa hachoki daima
Hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii hapa nchini inazidi kuwa tete, hii ikiwa ni miaka 5 toka nirejee kwa moyo wote kuja kujenga Taifa. Pamoja na harakati zote hizo bado hali ya umaskini inadhidi kukithiri. Ufa kati ya matajiri na maskini wa Bongo inazidi kuongezeka. Rasilimali zetu zinazidi kuporwa. Na nchi imeingia gizani kama ilivyotabiriwa na wadau wa umeme.
Sasa nimeamua kurudi kubeba maboksi. Natumai nitatumia muda huo kutafakari ni wapi nilikosea katika harakati zangu za kusukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania. Kama nitapata jibu, basi labda nitajipanga upya na kurudi tena kujiunga na wanaharakati kujaribu kuendeleza taifa hili. Kwa sasa roho inataka ila mwili ni dhaifu. Naam, nia ya kubaki na kuvumilia ninayo, sababu ya kubaki na kuvumilia ninayo, ila uwezo wa kubaki na kuvumilia sina.
*Wapi maboksi yanabebeka kwa tija na elimu nzuri ya maendeleo inapatikana?

Neema neema gani, ufisadi waita wemaNchi imejaa neema, tumia akili utafanikiwa
Acha kulalama bure, unataka nchi ikupe nini?
Mwanaharakati kuharakati nini, Unapumbazwa na JF
Mwenye busara huifanyia nchi, siyo nchi iwafanyie kazi!
Nenda kabebe Boksi, hiyo ni qualification yako!
Wewe nenda ufike salama uendako,
Sisi wengine tunaendeleza mafao,
Uhuru umeshapatikana uamuzi ni wako,
Tanzania kuna neema kwa wenye macho.
Kikwete kaweka wazi wananchi katoa fursa
Hana ubaguzi wala kinyongo ni wewe fanya mambo,
Rudi kabebe boksi hiyo ndiyo fani yako.
Uhuru tunao uchumi tunao,Uhuru wake bendera, huo ndio utumwa
Rais wetu ombaomba, nasi wananchi pia
Uchumi huo twakalia,mafisadi hao jichumia
Kezaji nalo latucheka, madini yetu lachota