kabebe boksi mkuu!tuachie bongo yetu wazawaHali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii hapa nchini inazidi kuwa tete, hii ikiwa ni miaka 5 toka nirejee kwa moyo wote kuja kujenga Taifa. Pamoja na harakati zote hizo bado hali ya umaskini inadhidi kukithiri. Ufa kati ya matajiri na maskini wa Bongo inazidi kuongezeka. Rasilimali zetu zinazidi kuporwa. Na nchi imeingia gizani kama ilivyotabiriwa na wadau wa umeme.
Sasa nimeamua kurudi kubeba maboksi. Natumai nitatumia muda huo kutafakari ni wapi nilikosea katika harakati zangu za kusukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania. Kama nitapata jibu, basi labda nitajipanga upya na kurudi tena kujiunga na wanaharakati kujaribu kuendeleza taifa hili. Kwa sasa roho inataka ila mwili ni dhaifu. Naam, nia ya kubaki na kuvumilia ninayo, sababu ya kubaki na kuvumilia ninayo, ila uwezo wa kubaki na kuvumilia sina.
*Wapi maboksi yanabebeka kwa tija na elimu nzuri ya maendeleo inapatikana?
Hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii hapa nchini inazidi kuwa tete, hii ikiwa ni miaka 5 toka nirejee kwa moyo wote kuja kujenga Taifa.Komredi hizo harakati za miaka mitano tu, ulitaka zilete matokeo gani? nadhani hicho ni kipindi kifupi sana kwa mapinduzi ya kweli. Hata kama ulikuwa unafundisha watoto ndio kwanza wapo darasa la tano, jitahidi basi hata wahitimu darasa la saba.
Acheni idealism. Kuweni realistic.

Hatuendi popote mpaka kieleweke hapa hapa Bongoland!
Hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii hapa nchini inazidi kuwa tete, hii ikiwa ni miaka 5 toka nirejee kwa moyo wote kuja kujenga Taifa. Pamoja na harakati zote hizo bado hali ya umaskini inadhidi kukithiri. Ufa kati ya matajiri na maskini wa Bongo inazidi kuongezeka. Rasilimali zetu zinazidi kuporwa. Na nchi imeingia gizani kama ilivyotabiriwa na wadau wa umeme.
Sasa nimeamua kurudi kubeba maboksi. Natumai nitatumia muda huo kutafakari ni wapi nilikosea katika harakati zangu za kusukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania. Kama nitapata jibu, basi labda nitajipanga upya na kurudi tena kujiunga na wanaharakati kujaribu kuendeleza taifa hili. Kwa sasa roho inataka ila mwili ni dhaifu. Naam, nia ya kubaki na kuvumilia ninayo, sababu ya kubaki na kuvumilia ninayo, ila uwezo wa kubaki na kuvumilia sina.
*Wapi maboksi yanabebeka kwa tija na elimu nzuri ya maendeleo inapatikana?
Hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii hapa nchini inazidi kuwa tete, hii ikiwa ni miaka 5 toka nirejee kwa moyo wote kuja kujenga Taifa.Komredi hizo harakati za miaka mitano tu, ulitaka zilete matokeo gani? nadhani hicho ni kipindi kifupi sana kwa mapinduzi ya kweli. Hata kama ulikuwa unafundisha watoto ndio kwanza wapo darasa la tano, jitahidi basi hata wahitimu darasa la saba.
Basi hata JK tusimlaumu, miaka 5 haimtoshi. Tumuongezea 5 mingine. Na tubadili Katiba kabisa ili atawale miaka 5 mara 5 na apate muda mzuri wa kuvunja rekodi ya kusafiri dunia nzima!
Kauli hiyo ndio inanifanya nikupe b uendelee na mipango yako. Kwanza nani alisema kuwa wabeba maboksi hawana mchango katika harakati? naamini hata huko utakakoenda, utaendelea libeneke...nitatumia muda huo kutafakari ni wapi nilikosea katika harakati zangu za kusukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania...
Hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii hapa nchini inazidi kuwa tete, hii ikiwa ni miaka 5 toka nirejee kwa moyo wote kuja kujenga Taifa.
Basi hata JK tusimlaumu, miaka 5 haimtoshi. Tumuongezea 5 mingine. Na tubadili Katiba kabisa ili atawale miaka 5 mara 5 na apate muda mzuri wa kuvunja rekodi ya kusafiri dunia nzima!
Nilidhani ulikuwa katika harakati tofauti kabisa na JK ndio maana nikaona kwa harakati kama hizo unahitaji muda zaidi kumbe harakati zako ni kama za JK, basi nenda kapige box mkuu huyu JK mmoja anatutosha hatuna haja na JK mwingine..BON VOYAGE
Kukimbia tatizo sio suluhisho..dawa ni kukabili tatizo