Happy mother's day

Shayu

Platinum Member
May 24, 2011
608
1,653
Kutoka enzi za adam na Hawa mpaka sasa kinamama wamefanya kazi kubwa sana, kazi yao kubwa na njema inaonekana miongoni mwetu tunaoishi sasa hivi na hata walioondoka juu ya uso wa dunia.

Ni kupitia mwanamke binadamu mwenye pumzi ambaye anatembea na kufanya kazi juu ya ardhi hii anazaliwa.

Bila ya mwanamke hakuna uwezekano wa binadamu kuongezeka juu ya ardhi.

Yes msichana na mvulana wote wanatoka katika tumbo la mwanamke.

Upendo wao mkubwa na kujali kwao kuhusu uhai na maisha, ndio maana leo hii tuko hapa, na dunia inahesabu watu zaidi ya bilioni moja sasa.

Sio rahisi kubeba mimba kwa zaidi ya miezi tisa tumboni, huyu mama anabeba uhai na baadae ya vizazi vijavyo. There is no future without a woman. No either continuation of life.

Sisi wanaume hatuwezi kuendelea au vizazi vyetu kuendelea kuwepo pasipo mwanamke. We plant the seed and the seed grow inside their womb and continuation of life procceed.

Mtu ambaye ana oppress wanawake hana ufahamu wa kutosha they are our own self, they are part and parcel of ourselves. There is no existance of man without a woman. without them we are finished.

Bila wao wote tutakufa na existance of life will cease. I can feel extraordinary loneliness of a world without women.

Today iam standing here, mamilioni ya miaka yamepita. natambua mimi ni muendelezo wa kizazi kilichopita cha binadamu, Kutoka adam mpaka sasa ni mamilioni ya miaka yamepita.

Ushahidi juu ya kazi njema ya wanawake unaonekana. Na mimi nikiwa kama mfano born from a woman and through her extraordinary love and care leo niko hapa mbele yenu kama ushahidi wa kazi njema iliyofanywa na mwanamke, na wanawake wote toka uumbaji wa dunia.

I grow up through the help of my mother, God and nature, which provide us with food to nourish our bodies. Ardhi ambayo kila wakati haijashindwa kutoa chakula kwa ajili yetu na hata ndege na wanyama. Through women our nations increase in number and became strong.

Kazi zao ni dhahiri machoni mwetu. Wanatuangalia sisi wanaume na watoto wetu. Wanahakikisha familia imekula na inakuwa na afya.

kila wakati wanajaribu kufanya nyumba zetu ziwe safi na sehemu bora ya kuishi. Some wanatembea maili nyingi kutafuta maji ili waje kuilisha familia. Wengine wanatafuta kuni maili na maili. Ni kutokana na mapenzi yao kwa watoto wao na kwa familia. Wanawalisha watoto hadi wanakua. Wakati mwingine hawapati usingizi watoto wakilia usiku kucha.

Wapo wanaofanya kazi mashambani mtoto akiwa mgongoni . Wakilima na kupanda wakitegemea kwa majaliwa ya Mungu mazao yataota na watapata chakula kwaajili ya familia ili maisha yaende. Kwasababu ingawa binadamu anavuta pumzi bure hawezi kuishi pasipo chakula kama ndege na wanyama wengine. Life will cease.

Wapo wanaofanya biashara ndogondogo huku wakiwa wamewaacha watoto pembeni. Jua likiwaka wakitembea maili na maili na mabeseni kichwani.

They are all fight and struggle to give food to their children. They bring life to their young ones. Wanajua watoto hao ni damu yao na sehemu ya mwili wao. Na kupitia wao kizazi chao kinaendelea katika sura yao na umbo lao.

Hakuna cha kuongezea kuhusu kazi njema wafanyazo wanawake juu ya uso wa dunia. Wao ni kama majani ambayo kila wakati huchomoza ardhini na kuwapa chakula wanyama wa mwituni na mifugo. Wao ni kama mvua inyesheayo ardhi na kufanya mimea kukua. Bila wao maisha hakuna.

Through their extraordinary love and care they make this earth breath and life more enjoyable. Wengine ni dada zetu na shangazi zetu wote wanafanya kazi kuhakikisha maisha juu ya dunia hii yanaendelea.

And our courage and Hope depend on them.
 
Back
Top Bottom