Sio vibaya kusheherekea siku yako ya kuzaliwa endapo tu huvunji sheria ya nchi yeyote!
Ila ukakasi unapokuja ni pale mwanaume unapokubali kumwagiwa maji,matope,pombe halafu wewe umetulia tu unajichekesha chekesha!
Ninakuhakikishia mtu yeyote atayejaribu kufanya hivyo kwangu ataondoka hana meno yote ya mbele!
N:B,sijawahi kufanya happy birthday na wala sitarajii japo friend zangu huwa wananifanyia nikiwa sipo eneo la tukio
Sent by Diaspora