Lakini hukuwaeleza makosa yao ya kukudekeza kiasi ukakosa bahati ya kuniona mtoto wa Lindi ili ufaidi maisha. Happy birthday DearNamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuifikia siku ya leo,siku ambayo naadhimisha miaka kadhaa toka kuzaliwa kwangu.
Shukrani za dhati kabisa natoa wazazi wangu walonileta duniani..nawapenda sana.Marafiki zangu na member wote wa JF asanteni sana kwa uwepo wenu humu..nawapenda mnoo. Mwenyezi Mungu atulinde sote na atujaze kwa baraka zake
Heri ya siku yangu ya kuzaliwa.
mimisa
Hbd mimisa. mia
Happy Birthday mimisa.
Mie na my Hubby Ben Saanane twakutakia Baraka tele katika maisha yako.
HAPPY BIRTHDAY