Happy Birthday ICHANA
Mungu akuongezee miaka ya maisha yako na yakawe ya heri na fanaka
Hongera sana kwa siku yako hii ya leo 'Valentina' asante sana na nitakisimamia vyema kitengo husika
Huyu namfuata hata kama amevaa overall atakuja tuu kwenye birthday dikembe uko wapi
daaaah aisee u busy haufai happy birthday babgirl.....!!
daaaah aisee u busy haufai happy birthday babgirl.....!!
Ha ha haaa si nakupunguzia majukumu jamani! Tuma tu hizo hela buana
thanks much charty kwa ujumbe mzuri ...miaka yoote ijaliwe na hekima kama ya solomoni ...happy birthday to ICHANA..Happy new month..happy new day..mungu akupe kila haja ya moyo wako uliombalo kwake likatimie maradufu tunakupenda saana tafuta dawa ya kusafisha tumbo maana msosi wa leo si mchezo..love u!!!mwaaah