ka mkubwa, una maana gani hapa?
Mkuu anamaanisha movie ya denzel ya john q ilikua poa sana ila mi aliniacha hoi sana kwenye american gangster na russel crowe maana aliuvaa uhusika kweli.
Mkuu anamaanisha movie ya denzel ya john q ilikua poa sana ila mi aliniacha hoi sana kwenye american gangster na russel crowe maana aliuvaa uhusika kweli.
Alinifurahisha pia alivyompa frank lucas hela plus alivyoact kama frank lucas na pia cuba gooding alivyoact vizuri kama mr untouchable nicky barnes.....
oh,! nimeelewa sasa mkuu!
naomba kama una movie zozote za denzel unitumie please! i will give you my e-mail
hahahaaa!! umenifurahisha uliji-quote.. nimetafuta aliyekuwa quoted, kumbe ni wewe mwenyewe! teh!
Mkuu anamaanisha movie ya denzel ya john q ilikua poa sana ila mi aliniacha hoi sana kwenye american gangster na russel crowe maana aliuvaa uhusika kweli.
movie hiyo ya jamaa inaitwa john q ya muda kidogo ila ni nzuri....ka mkubwa, una maana gani hapa?
kuna ile ya book of eli....!Alinifurahisha pia alivyompa frank lucas hela plus alivyoact kama frank lucas na pia cuba gooding alivyoact vizuri kama mr untouchable nicky barnes.....
kuna ile ya book of eli....!
Tafuta na hizi mkuu!
Mississippi massala
Malcom x
2 guns (latest)