Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,915
Unajua kibo yule ni Kijana lazima aangalie Maslahi na bado umri wake ni under 25,sasa asipopigana hivi sasa basi kazi pevu kweli.Huyu jamaa kakimbili azam tv kwishiney pale eatv ndio ilikuwa mpango mzima
Hata hivyo nimtakie kheri ya kuzaliwa
aaaargh nimechelewa..
ADRIAN tangia umeamia Azam umepoa sana makeke yako vile hafu yule mtangazaji wa kiume hupenda kuongea sana bila kuwapa nyie chance muongee utafikiri kipindi yuko pekee ake
Yani i mean kiutangazajiHa haha..I hope umemaanisha yule "Wakike" na si kama ulivyo andika..yeah umri umeenda lazima tutulie kidogo..Lol!
Wakuu Leo ni ni siku ya Kuzaliwa ADRIAN HILLARY STEPP aliekuwa EATv ambae sasa yupo AZAM Tv two.
Hope mnajua ni mdau wetu.
Chanzo cha Habari ni AZAM Two na mtoa habari ni yeye mwenyewe kwa kuimbiwa na Mtangazaji mwezie Zainab Chondo
ADRIAN Mungu akupe Maisha marefu yenye Baraka zake,akulinde na shari za dunia na huko tuendako.Akupe hekma na uvumilivu katika ukubwa(ndoa),akupe hekma za kumlea Binti yako na wanaokuja kama ulivyolelewa wewe.
Mungu akujaalie Jpili hii ukienda kanisani utoe pesa ya noti na sio Coins ili kubariki siku yako ya kuzaliwa
"AMEEEEEN"