Happy b.day me!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(MWALIMU);John,haya majibu ya mtihani wako yanaonyesha ulikuwa unatazamia kwa jane. (JOHN);Kwanini mwalimu unadhani nimetazamia?. (MWALIMU);Swali la Rais wa kwanza wa Tanzania,Jane amejibu ni Nyerere na wewe umejibu ni Nyerere. Swali la mlima mrefu kuliko yote Africa,Jane amejibu,'kilimanjaro' na wewe umejibu 'Kilimanjaro'. Swali la mto limpopo uko wapi,Jane amejibu,'sijui' na wewe John umejibu,'hata mimi sijui'.>>>>>>>> (Thanks Lord for blessing me with another birthday).
 


Happy Birthday JAGUAR !!!
U always make my day tehe tehe tehe!
 
Jaguar,ndo umezaliwa leo..!?basi nakuletea zawadi ya nepi,ningekuletea kuku na mapochopocho mengine lakini nimekumbuka kuwa bado hujaota meno
 
Happy b'day mkuu! Though sina mbavu na huyo John!
 
Jaguar,ndo umezaliwa leo..!?basi nakuletea zawadi ya nepi,ningekuletea kuku na mapochopocho mengine lakini nimekumbuka kuwa bado hujaota meno
Thanks buddy,today i'm like a toddling kid!
 
happy birthday ndugu.Endeleza kula viazi mbatata nasikia vinaongeza umri wa kuishi.
 
Happy Birthday Jaguar...wishing you all the best! 😛oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…