Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
- Thread starter
-
- #21
We pimbi kweli , ni hivi sawa wewe unanidai nimemechelewa kukulipa unanishtaki halafu bado wewe unaedai ndio ugharamie sasa c hasara juu ya hasara c bora ungekausha tu.Its TZ that had lost leverage , and then you went to court, then the same court that ordered your plane to be confiscated ordered it released...ukali upo wapi???? hapa mahakama ya SA ndiyo wanaweza kudai ni wakali, wameshika nchi mzima makende na mkaenda kupiga magoti SA.
Kama TZ ingechukua ndege kutumia njia nyingine kama kuchukua investments za SA zilizo TZ basi mngesema nyinyi ni wakali, au kama Magufuli angeonya SA kutumia mbinu nyingine warudishe ndege...
lakini sasa waliyochukua ndege wamerudisha kwa hiari yao..
This has just exposed the weakness of TZ.
Acha kukana chakula chako cha kila siku [emoji23][emoji23]
boss, get this, your planes are at the mercy of SA courts and individual citizens..We pimbi kweli , ni hivi sawa wewe unanidai nimemechelewa kukulipa unanishtaki halafu bado wewe unaedai ndio ugharamie sasa c hasara juu ya hasara c bora ungekausha tu.
Kwanza wajarudisha kwa hiari tengua kauli yako wamezidiwa akili na maarifa na wa TZ , wa TZ kwa blabla tuko vizuri wao wamekama kwa maneno na sisi tunachukua kwa hayohayo maneno na gharama haituhusu watalipa wao ,wangekamata kwa mtutu na sisi tungejibu kwa mtutu wala tusingeenda mahakamani hiyo ndo TZIts TZ that had lost leverage , and then you went to court, then the same court that ordered your plane to be confiscated ordered it released...ukali upo wapi???? hapa mahakama ya SA ndiyo wanaweza kudai ni wakali, wameshika nchi mzima makende na mkaenda kupiga magoti SA.
Kama TZ ingechukua ndege kutumia njia nyingine kama kuchukua investments za SA zilizo TZ basi mngesema nyinyi ni wakali, au kama Magufuli angeonya SA kutumia mbinu nyingine warudishe ndege...
lakini sasa waliyochukua ndege wamerudisha kwa hiari yao..
This has just exposed the weakness of TZ.
Tumia lugha takatifu kwanzaboss, get this, your planes are at the mercy of SA courts and individual citizens..
Na wewe tumia jina la heshima kwanza sio kujiita ati "Mboro Birika"Tumia lugha takatifu kwanza
Oya huyu mkulima fala tusishangilie makaka Huyu Herman amekata rufaa mawakili wanarudi tena court kuisikiliza tena kesi asa sijui itakuaje.Naibu Waziri Mambo ya Nje ya Tanzania, Dk Damas Ndumbaro amesema, Serikali ya Tanzania imeshinda kesi hiyo bila kutoa fedha yoyote ambayo aliyetushitaki alitaka Serikali ya Tanzania tuweke fedha dola milioni 33, kama dhamana.
Kwa upande wake, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba, “Mahakama Kuu ya Gauteng, Afrika Kusini, leo imetoa hukumu na kuamuru kuwa ndege ya AirTanzania iliyokuwa ikishikiliwa nchini humo iachiwe na mlalamikaji alipe gharama za kesi. Tunawashukuru wote kwa uvumilivu wenu.
Taarifa za awali zinasema kwamba ndege hiyo hivi sasa ipo njiani kurejea Dar es Salaam.
We kwa akili yako unafikiri mahakama inaamka tu asubuhi na kuamuru "ndege ishikiliwe" "ndege iachiliwe"Mahakama ilisema ndege ishikwe na ikashikwa,
Sasa wamesema ndege iwachiliwe,
ukali wa TZ upo wapi hapo???
Aisee nimesoma habari jioni hii ni kwamba yule mkulima ame appeal case asa itakuaje mazeh??We kwa akili yako unafikiri mahakama inaamka tu asubuhi na kuamuru "ndege ishikiliwe" "ndege iachiliwe"
Wakenya wa leo ni disaster aisee
Aisee nimesoma habari jioni hii ni kwamba yule mkulima ame appeal case asa itakuaje mazeh??
wacha mchezo bana, kwanza ndege yenu kushikwa kwa sababu ya madeni ni aibu kubwa,We kwa akili yako unafikiri mahakama inaamka tu asubuhi na kuamuru "ndege ishikiliwe" "ndege iachiliwe"
Wakenya wa leo ni disaster aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndege imewachiliwa leo huku hatutolala Hadi Uzi ukaanzishwa na Mdanganyika ila ule wa kukumatwa ilibidi Wakenya wauanzishe.
wacha mchezo bana, kwanza ndege yenu kushikwa kwa sababu ya madeni ni aibu kubwa,
sasa mnapewa options zingine na court ya SA mnaanza kujigamba nyinyi wakali..
Kama mngekuwa wakali hata haingeshikwa,
Monkey ya kibera hii inanuka mafiiIts TZ that had lost leverage , and then you went to court, then the same court that ordered your plane to be confiscated ordered it released...ukali upo wapi???? hapa mahakama ya SA ndiyo wanaweza kudai ni wakali, wameshika nchi mzima makende na mkaenda kupiga magoti SA.
Kama TZ ingechukua ndege kutumia njia nyingine kama kuchukua investments za SA zilizo TZ basi mngesema nyinyi ni wakali, au kama Magufuli angeonya SA kutumia mbinu nyingine warudishe ndege...
lakini sasa waliyochukua ndege wamerudisha kwa hiari yao..
This has just exposed the weakness of TZ.
Ngoja uone ndege itazuiliwa tena mawakili wamerudi kortini.Hapa hakuna cha "nguvu za Tanzania" haya yote ni ya mahakama huru za South Africa.
Na wewe tumia jina la heshima kwanza sio kujiita ati "Mboro Birika"