Hapa wakiwa na fisi

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,935
majanga
 

Attachments

  • 11026318_953176461359297_4722827900716520397_n.jpg
    19.2 KB · Views: 723
Tuamini vipi kwamba siasa hazina ushirikina! Au ndio kusema ni mapambo yanasherehesha shughuli
 
mbona hawakamatwi kwa kuwa na nyara za Taifa?

Kiongozi hiki ni kichekesho, hiyo mifisi ingepelekwa mkutano wa vyama vingine Afisa Malisili Wilaya angeipata fresh. Lakini kwa wao aah, hakuna matata. Halafu wanapiga makofi!
 
Siku hii itakua ya kipekee sana katika maisha ya hawa fisi, maana hawaelewi ni kitu gani kimetokea hadi chama kikumbuke mchango wao.

Infact fisi hula mizoga pia kwa sababu hii sishangai kuona wapo na wanachama wa chama kilichokwisha kua sawa na Mzoga.
 
Last edited by a moderator:
Ndio hawa hawa kabisa wauaji wa Albino wetu. Anayebisha aseme hivi ni vitu gani zaidi ya ushirikina ambano ndiyo chanzo kikubwa cha mauaji ya hawa ndugu zetu, na ukatwaji viungo kishirikina. Ccm ni mauti ya Tanzania.








Naamini ccm ndio wanao ua albino!
 
Wangekuwepo kwenye harakati za kipinzani kesho waziri mwenye dhamana ya maliasili tayari keshapeleka kesi mahakamani!
 

fisi hao ndio wanaosave ccm kwa kuila mabaki ya miili ya ndugu zetu wenye albinism wanaouawa na maccm
 
Last edited by a moderator:
JF where we dare to talk....

.. hadi photoshop /edited tuna onyesha itikadi...

kaz kwel kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…