N nkonges100 Member Joined Sep 27, 2015 Posts 12 Reaction score 3 Dec 23, 2019 #1 Habari wadau ni miezi sasa nimekuwa nasumbuliwa na kichwa na kizunguzungu nikifanya shughuli yoyote au kazi yoyote kwa muda kidogo. Shida ni nini wadau? Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau ni miezi sasa nimekuwa nasumbuliwa na kichwa na kizunguzungu nikifanya shughuli yoyote au kazi yoyote kwa muda kidogo. Shida ni nini wadau? Sent using Jamii Forums mobile app
S Six Time JF-Expert Member Joined Oct 17, 2019 Posts 209 Reaction score 142 Dec 27, 2019 #2 Kapime Sent using Jamii Forums mobile app
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,013 Reaction score 28,347 Dec 27, 2019 #3 nkonges100 said: Habari wadau ni miezi sasa nimekuwa nasumbuliwa na kichwa na kizunguzungu nikifanya shughuli yoyote au kazi yoyote kwa muda kidogo. Shida ni nini wadau? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kapime damu kwanza huenda ni nyingi na presure nayo inaweza changia
nkonges100 said: Habari wadau ni miezi sasa nimekuwa nasumbuliwa na kichwa na kizunguzungu nikifanya shughuli yoyote au kazi yoyote kwa muda kidogo. Shida ni nini wadau? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kapime damu kwanza huenda ni nyingi na presure nayo inaweza changia