njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,664
Huyu winga,kuhusu kumzidi kwa kwa namna ya kuleta matokeo YES tena mnooo, nakuambia pata picha ya Edibily lunyamila huyu binti anapiga chenga ana kasi, mashuti kanatumia mguu w akushotoAmemzidi yule corazoneee
Corazone ni defensive midfield. Simba kweli kwasasa imekuwa ya kimataifaAmemzidi yule corazoneee?
Jentrix atawapasua sana namuaminiaCorazone ni defensive midfield. Simba kweli kwasasa imekuwa ya kimataifa
simba anatumika kama attacking, defensive anacheza fetty dancerCorazone ni defensive midfield. Simba kweli kwasasa imekuwa ya kimataifa
Yuko the best.. powerful and skillfulsimba anatumika kama attacking, defensive anacheza fetty dancer
nani corazonee au huyu jentrix,? corazone katokea kukubalika sana ila mark my words , ligi ikianza au mashindano ya huko moroko yakianza huyu Shikangwa ndiye atakuwa star wa simba queensYuko the best.. powerful and skillful
Ni Mimi tu ndio najua kama Fatuma anacheza fullback namba 2.Au??simba anatumika kama attacking, defensive anacheza fetty dancer
namba 6 ingawa mbili anaiweza pia hata 5 sema mfupi ndiyo maana wakamchukua daniella kucheza 5...ila fetty namba 6 hata team ya taifa anacheza 6 sometimes 5Ni Mimi tu ndio najua kama Fatuma anacheza fullback namba 2.Au??
Powerful na Skilful nazungumzia Corazone. Huyu Jentrix simfahamu. Lakin sina shaka mtazamo wako. Ninachoamini sasa hivi SIMBA wana scouting bora sana. Professional!nani corazonee au huyu jentrix,? corazone katokea kukubalika sana ila mark my words , ligi ikianza au mashindano ya huko moroko yakianza huyu Shikangwa ndiye atakuwa star wa simba queens
mwaka jana walimtaka akapata team uturuki wameshindwana maslahi ndiyo wamempata , ni hatari sana niamini mimi, bado huwa nasikitika sana simba walimpotezaje yule Amina bilali hadi akaenda yangaPowerful na Skilful nazungumzia Corazone. Huyu Jentrix simfahamu. Lakin sina shaka mtazamo wako. Ninachoamini sasa hivi SIMBA wana scouting bora sana. Professional!
Kweli. Nadhani Wana mipango mikubwa Africamwaka jana walimtaka akapata team uturuki wameshindwana maslahi ndiyo wamempata , ni hatari sana niamini mimi, bado huwa nasikitika sana simba walimpotezaje yule Amina bilali hadi akaenda yanga
Unajua hata last year kwenye cosafa bilal alikuwa mchezaji bora , mwaka huu kaingia first 11 ya cosafa, fetty dancer yuko kikosi cha akiba
Bilal angekuwa bado simba katikati akae yeye , corazone na fetty ingekuwa poa sana wafanye mpango wamrudishe
Hilo linajukikana makolo hamna team paleHuko kwa akina mama ndiko kunako wafaa. Ongezeni bidii ya kusajili Wakenya, ili muendelee kupata matokeo mazuri. Mkija huku kwa wanaume, mjiandae kukutana na Fei Toto na mwenzake Fiston Mayele. Hawa vijana wana roho mbaya sana!
Maana mtajitutumua weeeh kucheza mechi nyingi za Kirafiki na Malindi, Kipanga, nk ili kutafuta combination ya wale mabondia wenu Okra na Mlete Mzungu!! Ila itakapofika tarehe 23/10, kichapo kiko palepale kutoka kwa Wananchi!
Kwa akina mama huu unaweza ukawa msimu wa mwisho kwa makolo kudominate kwa kuwa timu yao ina muda ila wakizubaa msimu huu wanaweza kupigwa na Yanga princess,maana usajili uliofanywa na Yanga princess ni mzuri kinachoweza kuwacost ni muunganiko labda,miaka iliopita wadhamini (GSM) awakuji involve na hii timu ilikua kila kitu chini ya uongozi wa klabu,msimu huu jamaa wametia pesa na msimu ujao ndio watatia pesa zaidi,wamemsajilia yule kocha mwanamama timu ya kumfukuzisha kaziHuko kwa akina mama ndiko kunako wafaa. Ongezeni bidii ya kusajili Wakenya, ili muendelee kupata matokeo mazuri. Mkija huku kwa wanaume, mjiandae kukutana na Fei Toto na mwenzake Fiston Mayele. Hawa vijana wana roho mbaya sana!
Maana mtajitutumua weeeh kucheza mechi nyingi za Kirafiki na Malindi, Kipanga, nk ili kutafuta combination ya wale mabondia wenu Okra na Mlete Mzungu!! Ila itakapofika tarehe 23/10, kichapo kiko palepale kutoka kwa Wananchi!
Fetty toka nimemjua nimemuona akicheza beki wa pembeninamba 6 ingawa mbili anaiweza pia hata 5 sema mfupi ndiyo maana wakamchukua daniella kucheza 5...ila fetty namba 6 hata team ya taifa anacheza 6 sometimes 5
Ni kwa sababu kule kwingine wameshajikatia tamaa. Wakimuanglia nahodha John Boko, mzee mwenzangu Erasto Nyoni! Mlete Mzungu! Augustine Okrah, Nelson Okwa! Habib Kiyombo!! Na wachezaji wengine!! Kote huko wanaona matumaini hakuna!Inakuwaje wanaume mashabiki wa Simba mnajadili timu ya kina dada??
Hapo nimeelewa mkuuNi kwa sababu kule kwingine wameshajikatia tamaa. Wakimuanglia nahodha John Boko, mzee mwenzangu Erasto Nyoni! Mlete Mzungu! Augustine Okrah, Nelson Okwa! Habib Kiyombo!! Na wachezaji wengine!! Kote huko wanaona matumaini hakuna!
Halafu makocha wenyewe ni mzee wa sound Juma Mgunda na mtoto mpendwa Seleman Matola!!