aisee 😋 😋 😋wakaka kutaka kuwa nitoke nao ili kupoteza mawazo
yaani wanaamini mtu msomi anaweza weka maisha yake kwenye mitandao.sikuwajibu kitu. After 24 hrs nmeweka picha nipo na mume wangu wamenyamaza mpaka muda huu kimya.
Nilijua ni mimi tu mshamba...aisee nashangaaga Sana mtu kuniambia umeona status ya fulani eish Ya kazi gani...ili iwaje..dah watu Wana kaziHuo muda wa kuweka na ku-view status mnautoaga wapi???
yaani wanaamini mtu msomi anaweza weka maisha yake kwenye mitandao.
😂😂😂😂Anapingana na alichokiandika."Mtu msomi haweki maisha yake kwenye mitandao"
After 24hrs umeweka picha ukiwa na mume wako...teh!
Itakuwa mume sio sehemu ya maisha yako
Ndo ushaweka kwenye mtandao🤣🤣🤣🤣Waswahili ni wanafiki sana tena wambeya.wanawake kwa wanaume.yaani wanaamini mtu msomi anaweza weka maisha yake kwenye mitandao.sikuwajibu kitu. After 24 hrs nmeweka picha nipo na mume wangu wamenyamaza mpaka muda huu kimya.