Jamani naona siku inakaribia kwisha na ninataka kuwatakia happy valentine wote ambao mnatembelea hii thread. Niwataje lakini wachache wenu ambao mmenikaribisha na kunishauri na wengine tume chat kidogo kwenye hii thread.
Lizzy,
Ukwaju,
Remmy
Jaluo Nyeupe
Gaga
Chwechwe
Bigirita
VoiceofReason
Kaizer
LD
Firstlady
Michelle
BlueFace
Gurudumu
Bubu ataka Kusema
Mukoyo
Katavi
Desidii
Mkare
Chetuntu
Happy Valentine all!!!!!:clap2::coffee:
waheshimiwa,
mimi ndiyo kwanza nimejiunga. nimefanya ziara ya baadhi ya majukwaa na kuchungulia mijadala michache. Nilipoingia kwenye lile jukwaa la siasa heartbeat zangu ziliongeza kasi kwa sababu inaonekana watu wengi kule wana hasira sana.
Nilipokwenda International kidogo siyo mbaya, hata hayo majukwaa mengine.
Lakini nimeona nianzie hapa kwa sababu baada ya kuchungulia kwenye hili jukwaa heartbeat zangu zikarudi normal tena. angalau kuna life, na urafiki.
Nimeona pengine nianze tu na observation yangu hii. Kuna watu wamenifurahisha sana mijadala yao lakini kwa kuwa sijawasoma wote sitaki nifanye makosa ya kutaja baadhi na kuacha wengine. Pengine kadri navyozoea basi nitawataja walionifurahisha zaidi.
usiku mwema
Asante Lizzy, ukweli wewe ni mojawapo ya watu walionivutia. michango yako haina papara, inafurahisha na kuliwaza at times
Asante sana na wewe utufurahishe!Umeshajifunza kugonga Thanks lakini?Usiwe mchoyo!
karibu sana, ila hujasema kipi kimekuvutia huku jukwaa pendwa.
Karibu!Wala muda usikutishe...hata sisi tulianza hivyo hivyo!Asante kunifundisha, nilikuwa sijui, nimekugongea. Nilivyoona kuna baadhi ya watu wana muda mwingi zaidi kujadili jambo hapa. tatizo langu litakuwa muda ingawa naona nitaenjoy sana mara moja moja nikiwa na stress za kazi nakuja huku
Hivyo vinanihi vya kugonga thanks mbona sivioni tena?
Hua vinapotea kidogo..vitarudi tu!
Vikirudi na mimi nigongee ..... nimeiungia hiyo senksi folen tokea asubuh
Unamgongea mtu unapoona umeridhishwa na point yake !Yani either umejifunza kitu..umekubaliana nae au umefurahia mchango wake!Kwahiyo inamfanya mtu ajisikie pouwaa!Nimekugongea, lakini kwani usipoipata unajisikiaje? na mimi mbona hamnigongei
Unamgongea mtu unapoona umeridhishwa na point yake !Yani either umejifunza kitu..umekubaliana nae au umefurahia mchango wake!Kwahiyo inamfanya mtu ajisikie pouwaa!
Unamgongea mtu unapoona umeridhishwa na point yake !Yani either umejifunza kitu..umekubaliana nae au umefurahia mchango wake!Kwahiyo inamfanya mtu ajisikie pouwaa!
Lizzy nakushukuru sana. Umenisaidia sana na najisikia umekuwa mwenyeji wangu hapa. Lakini sasa mimi nataka kulala, tutaonana kesho usiku mwema
Karibu tena kesho!Nite!Lizzy nakushukuru sana. Umenisaidia sana na najisikia umekuwa mwenyeji wangu hapa. Lakini sasa mimi nataka kulala, tutaonana kesho usiku mwema