Mkuu Hapo Nahisi ipo Kimakosa Coz Hiyo ni GuideBook ya TCU, Lakini Kwenye GuideBook ya Bodi ya Mikopo HESLB hiyo Ni Non-priority.
Haiwezekani Kwa GuideBook Mbili Kukinzana! Na ikumbukwe Kuwa inapotokea Tofauti Kati yao Basi HESLB ndiyo Finally Decision, Kwani TCU wao wanachagua Wanafunzi tu lakini HESLB ndiyo Wanaotoa Mkopo.
Cozi ikiwa ni Non-priority Kwa Bodi ya Mkopo Basi Huwa ni Kwa Vyuo Vyote, Sio kwa baadhi ya Vyuo iwe kipaombele, ila Kwa baadhi ya Vyuo iwe si Kipaombele.
Na Mkuu Haikuwahi wala Haitowahi Kutokea Kwa Masomo Ya Sanaa Kuwa Priority.