Walikuwa masigle girls na wanawake walio olewa. Jirani yangu alikuwa akiwarushia pesa, anawanunulia gari na nyumba. Aliwachanganya kweli kweli. Walimfanya ATM na mbaya zaidi waliakikisha wanamkamua maziwa mpaka sasa hivi jirani yangu ana mbele wala nyuma. Wamemfilisi kabisa, wamemkimbia. wameamuwa kustick na maboy friend zao na waume zao.
Nilipochoka ni kwa nini wanawake kwenye swala la pesa awaoni hatari iliyopo. Sasa jamaa hana pesa, amna mwenye muda naye. Mbaya zaidi kuna haja gani ya kuoa wakati mke akiliona fuba la pesa anakuona toyoyo!!!
Wajameni!!!!
Haja ya kuoa ipo maana mwisho wa siku "wameamua kustick na maboyfriend na waume zao" . Hayo mengine ni mapito tu.
Wenye vihela vyao ndio waatakiwa wajiulize wana haja gani kuhonga wanawake ambao akiwa hana pesa wanamuacha solemba.
Poleni wanaume.
Wasandawe wanapatikana Kwamtoro! MsandaweHalisi anapatikana wapi?
CC kwamtoro na Msandawe Halisi.
Can someone connect the dots??!!
We thread zako za hela hela tu... unaish wap
mafisi haoPole yake huyu jamaa yako wala usiwalaumu hao wanawake.
Ingekuwepo Dislike... ningekutupiawe nae ni mzigo tu ndo walewale
Ingekuwepo Dislike... ningekutupia
kumbe hamna haja ya kuonga!?? wanawake uwape hela usiwape yote yaleyale... ndo mana wengi wanaishiwa kuchezewa