So what
Unaweweseka kama lowassa. Pole sana kwa maumivu.
Umekula?????....Nenda kale naona una njaa
Unaweweseka kama lowassa na kupaniki kama ukawanite.
Unaweweseka kama lowassa na kupaniki kama ukawanite.
Kama hakuwepo na bado walijaa, maana yake ni kwamba kumbe huwa hawajai kwa kumfuata yeye, bali kuna kitu kingine huwa kinawavutia.Hapa Magufuli hakuwepo...
hembu tafuta na bongo movie wazee wakushituka, tuone wameshituliwa kwa kiasi gani eachHawa wanaolipwa hivi walikuwepo?